dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,149
Hichi unachokizungumzia nitofauti kabisa na mtizamo wa mtoa madaWengi watakushushua kama walivyofanya comment zilizopita ila..
Elewa kwamba kila mwaadamu ana Uselfish(Umimi) anatamani vitu vizuri apate yeye tu referring tukio la kaini na abel na tukio la Watoto wa Yakobo nk.
Hakuna anayefurahi akisikia mtu fulani kafanikiwa vitu hua inamuuma kwanza hafu ndio anafurahia mafanikio yako huku akipoga hesabu jinsi ya kunufaika na mafanikio yako.
By nature mwanadamu hakuumbwa kumiliki mali alitakiwa atafute apate atumie atafute tena..Tabia ya kutaka kumiliki mali ndio imechagiza zaidi watu kua wabinafsi...Watu wanatoana roho vita kila siku kugombania Mafuta,Dhahabu nk nk.
Hivyo basi mkuu kama unasikia kinyongo mtu akifanikiwa then Hali hiyo inaisha at a time basi haina shida kabisa upo sawa. Ila kama inakuHaunt kabiiisa hadi unakosa amani hivyo mental yako ipo damaged kiaisi kikubwa anza kuishughulikia. Jiambie ni kawaida mtu kupata mafanikio hata ww unaweza kupata huo ni muda wake.. potezea kabisa habari za mafanikio ya mtu.
Kila kitu kinaanzia akilini mwako (Your mind not Brain)
Watu Selfish mara nyingi huwa tumia watu wengine kwa ajili ya manufaa yao ingekuwa huyu jamaa ni selfish hata kwenye hicho kipengele cha kumsaidia mtu mawazo ya biashara basi angetumia uselfish kujinufaisha na hiyo biashara,
Selfish people pamoja na umimi wao huwa wanafanikiwa na kuwa na maendeleo lakini mtoa mada sio miongoni mwa watu hao huyo jamaa ni muharibifu/antisocial.