Polee sanaa mkuu....nahisi maumivu yako.Yaani jinsi maisha yalivyo magumu kwangu nawaza maishani mwangu nisije kupata mtoto akaja duniani kuja kula msoto kama Mimi.
Maana Mimi mwenyewe niña wazazi lakini siwezi kuwasaidia msaada wowote wana hangaika nauzee wao mtoto wao sieleweki.
Bora niwewamwisho kuteseka ila damu yangu nisiilete duniani kula huu msoto.
Najilaumu na utu uzima huu sina msaada wowote kwa wazazi Bora wasinge nizaa naona Hadi aibu kurudi home au kupiga simu.
Yaani jinsi maisha yalivyo magumu kwangu nawaza maishani mwangu nisije kupata mtoto akaja duniani kuja kula msoto kama Mimi.

💯🤝Anza kuwasaidia kwa hichohicho kidogo ulichonacho
Dah mkuu umetumia maneno makali sana.Wao ndio wanatakiwa Waumie Kwa Kushindwa kukusaidia kama mtoto wao ili ujikimu na kujimudu kimaisha.
Kama walikuzaa kama Mnyama bila mipango tatizo sio lako
Wao ndio wanatakiwa Waumie Kwa Kushindwa kukusaidia kama mtoto wao ili ujikimu na kujimudu kimaisha.
Kama walikuzaa kama Mnyama bila mipango tatizo sio lako
Rudi shambaniYaani jinsi maisha yalivyo magumu kwangu nawaza maishani mwangu nisije kupata mtoto akaja duniani kuja kula msoto kama Mimi.
Maana Mimi mwenyewe niña wazazi lakini siwezi kuwasaidia msaada wowote wanahangaika nauzee wao mtoto wao sieleweki.
Bora niwe wa mwisho kuteseka ila damu yangu nisiilete duniani kula huu msoto.