Naumwa sana korodani, naomba ushauri

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.

Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.

Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
 
GONOREA
 
Mkuu pole ila TATIZO unalijua

Over
 
Lugha ya uandishi wako inaonesha wewe ni wale wanaookota madege yasiyolika baa zikifungwa. Ushauri wangu ni kuwa nenda kwa mchoma ashua muuzie hata kwa bei ya hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…