Naumwa sana korodani, naomba ushauri

Naumwa sana korodani, naomba ushauri

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.

Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.

Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
 
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nmeshindwa kwenda kazini leo kikubwa pumbu zangu zinauma sana pamoja na sehem ya kichwa cha mjubelege hapa nmekunywa daw tang asubuhi at least saiv ndo nmepata nafuu hata ya kuandika haya. Niombeen sana baadae ntaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
GONOREA
 
Mkuu pole ila TATIZO unalijua

Over
 
Lugha ya uandishi wako inaonesha wewe ni wale wanaookota madege yasiyolika baa zikifungwa. Ushauri wangu ni kuwa nenda kwa mchoma ashua muuzie hata kwa bei ya hasara.
 
Unatoa chuma, unaweka chuma...

Screenshot_20240909_132415_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom