didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wakuu hali yangu ya kiafya ni mbaya hadi nimeshindwa kwenda kazini leo, kikubwa korodani zangu zinauma sana pamoja na sehemu ya kichwa cha mjubelege hapa nimekunywa dawa tangu asubuhi at least saiv ndo nimepata nafuu hata ya kuandika haya.
Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.
Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam
Niombeeni sana baadae nitaingia kwa vipimo nakaribisha pia mwenye ushauri.
Epuka ngono zembe kwa gharama yoyote ile.....wasalaam