Ombaomba hana chaguo wala maringo mbele ya mabeberu.Wakafie mbali, tutachaguana sisi wenyewe. Mkapa alituonya tuwe macho na wahuni malayamalaya
Kuna mtu anapenda sana fedha za wazungu ile mbaya. Yaani anaona nchi haiwezi bila wazunguMmekataa au mmenyimwa?
😹😹😹 Hawataki kusema ukweli.Mmekataa au mmenyimwa?
Mambo ya sungura na sizitaki mbichi hiziMmekataa au mmenyimwa?
Wamenyimwa misaada ndiyo maana hadi leo hawana hata kofia wala leso za kugawa bure.Wamebaki wanyonge sana na hata kupeana rushwa safari hii ni bilabila.Hela za wafadhili hazipo.Mambo ya sungura na sizitaki mbichi hizi
Ila mko Tayari Kikwete na wanamtandao wenzake wawachagulie viongozi! (Tufanye ila tusikosee saaaana) Wajinga Wakubwa nyie!Tangu Rais Mkapa aseme tujitegemee kwenye uchaguzi hadi sasa ni miaka mingapi? Tutawachangisha watu wetu na kutumia rasilimali zetu katika kuchaguana ili tusiingie kwenye mtego wa kuchaguliwa viongozi.
Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao.
View: https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El%5B/URL
Wewe unga hata mguu sawa tu. Chura kiziwi kila siku anakopa. Hiyo mikopo haina masharti?Ila mko Tayari Kikwete na wanamtandao wenzake wawachagulie viongozi! (Tufanye ila tusikosee saaaana) Wajinga Wakubwa nyie!
Hata mzee huyu aliishia kuorodhesha kero na ubaya wa mabeberu tu akashindwa kutatua tatizo na aliwaacha watanzania ni masikini kwelikweli mbali na tanzania kuwa na madini mengi. Tanzania na Afrika sio masknini kwa uzembe wa viongozi tu. Tatizo la msingi ni wakoloni wetu.Ila mko Tayari Kikwete na wanamtandao wenzake wawachagulie viongozi! (Tufanye ila tusikosee saaaana) Wajinga Wakubwa nyie!
Hata mzee huyu aliishia kuorodhesha kero na ubaya wa mabeberu tu akashindwa kutatua tatizo na aliwaacha watanzania ni masikini kwelikweli mbali na tanzania kuwa na madini mengi. Tanzania na Afrika sio masknini kwa uzembe wa viongozi tu. Tatizo la msingi ni wakoloni wetu.
View: https://youtu.be/Dz_LLuilg98?si=wQuOGQ2OcnyOfLPb
Tena ndio unachochea moto tuzidi kuwachoma na kuwaona mafisi, wafiraji, watekaji, wauaji. Huku kwetu tulishafuta futa kabisa habari ya CCM.Hata mzee huyu aliishia kuorodhesha kero na ubaya wa mabeberu tu akashindwa kutatua tatizo na aliwaacha watanzania ni masikini kwelikweli mbali na tanzania kuwa na madini mengi. Tanzania na Afrika sio masknini kwa uzembe wa viongozi tu. Tatizo la msingi ni wakoloni wetu.
View: https://youtu.be/Dz_LLuilg98?si=wQuOGQ2OcnyOfLPb
JPM nae aliishia kuorodhesha tu kero kama wengine tu. Hatujaona hela za makenikia wala tanzanite ikibadilisha maisha ya watu. nani aliona hayo matrioni ya hela za makenikia? zililipwa kwenye account gani?Tena ndio unachochea moto tuzidi kuwachoma na kuwaona mafisi, wafiraji, watekaji, wauaji. Huku kwetu tulishafuta futa kabisa habari ya CCM.
Nyie ndio unataka kutukomboa kwa msaada wa wazungu? eti the world is watching!!!Mmekataa au mmenyimwa?
Mabeberu gani? Mabeberu kila siku unaenda kutembeza bakuli kwao kuomba unga? Baba saidia maskini' sisi ni maskini? Maadui zetu wamo humu humu wanaoiba raslimali zetu utadhani ni za mama zaoJPM nae aliishia kuorodhesha tu kero kama wengine tu. Hatujaona hela za makenikia wala tanzanite ikibadilisha maisha ya watu. nani aliona hayo matrioni ya hela za makenikia? zililipwa kwenye account gani?
Wanzania tusiwe wapumbavu wa kudanganywa na wahuni, tumsaidie Samia tujikomboe kutoka mikono ya mabeberu. Maana sisi sote tunajua kuwa tunaibiwa shida ni namna ya kuacha kuibiwa. kazi hiyo tusimwachie mtu mmoja tu. Hatua ya kwanza ni watanzania wote tumjue adui wetu namba moja ni nani; mabeberu.