Naunga mkono kukataa misaada ya uchaguzi kutoka nje

Kama ulikuwa unafahamu model yetu Katiba na utawala ni ile ya kijamaa zaidi kwanini mnabwabwaja humu? Katiba hii ni mbaya sana kwa jicho la Magharibi tu lakini kwa mashariki Iko poa. Labda alichoharibu Nyerere na wenzake wakati wanatunga Katiba hii ni kuondoa kipengele cha kuwanyonga hadi kufa wezi wa mali ya umma bila kujali ni nani. Kwenye Katiba hii wamejipa kinga hata wakituibia. Hii ndiyo tofauti.
 
Mzoga, usijifanye huelewi unacho elezwa.
Wewe upo hapa siyo kutetea mifumo ya aina yoyote. Ajenda ya GENGE la Samia inajulikana waziwazi; na nyinyi mizoga mnaokuja hapa mnahangaika tu kujifanya mnatetea mifumo; ambayo mkibanwa huko haraka mnarukia eneo jingine.
Kiufupi, wewe unalipwa kwa kazi ambayo huna uwezo nayo kabisa. Maandishi yako yako kila mahali; huna lolote ulijualo
 
Pamoja na umzoga wako, acha nikukumbushe safari ya uongozi wa huyo unaye mpigania hapa (Samia Suluhu Hassan) na Genge lake.
Jifanye umzoga umekutoka kwa muda, anza safari naye tokea siku ya kwanza alipo chukua madaraka na ile Royal Tour ya kipuuzi. Usijifanye kusahau maigizo ya Maridhiano na Mbowe na uchafu chungu nzima ulio fuatia kama kuua waTanzania, kuwateka na kuvuruga mshikamano wa waTanzania.

Sasa tazama alipo fikia, huku mizoga kama wewe mkishangilia na kumhimiza azidi kuharibu ili ajenda yenu itimie. na wewe kama Mzoga unaye tupiwa makombo unakuja hapa na hadaa za kujuwa mifumo!

Huyo mwanamke mmemdaka na kumtumia kutimiza ajenda ya genge. Mmemweka kwenye hali ngumu sana na hawezi tena kuwa na hali ya kuufurahia uhai tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…