Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

Thubutu!
huwezi kumuona mke wa mbowe wala wa Lisu.

Kiongozi pekee aliye kuwa anadamana na mkeo tena akiwa mstari wa mbele ni Dr. Slaa na Mkeo Mama Mushumbuzi. baada ya hapo sijawahi kumuona mke wa mbowe, mnyika wala lisu.
 
Mbowe yupo Qatar! Lissu ameonekana arusha juzi
 
Mbowe alisikika akisema "jamani wananchi wenzangu naombeni mkapambanie uhuru wenu naombeni mjitokeze tarehe 23 fanyeni vurugu msikubali kuonewa mimi nipo likizo Qatar, nitakuja mwezi ujao kanipambanieni mniwakilishe vyema"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…