Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

Naunga mkono maandamano ila Mbowe na Lissu nao wawe mbele na familia zao tarehe Septemba 23

Thubutu!
huwezi kumuona mke wa mbowe wala wa Lisu.

Kiongozi pekee aliye kuwa anadamana na mkeo tena akiwa mstari wa mbele ni Dr. Slaa na Mkeo Mama Mushumbuzi. baada ya hapo sijawahi kumuona mke wa mbowe, mnyika wala lisu.
 
NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele

Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia. Hata hivyo, kuna sharti muhimu: viongozi wetu, Mbowe, Lissu, na familia zao wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika maandamano haya.

Tunaamini ni muhimu kwao kuwa sehemu ya kinachofanyika. Tunataka kuhakikisha kwamba risasi zikipigwa, zianze kwao kwanza, kwani hatutaki kuonekana kama wajinga tukiandamana huku wakiwa nyumbani wakiangalia kupitia televisheni.

Ni muhimu kwa viongozi wetu kushiriki kikamilifu katika mapambano haya ili kuonyesha kuwa wanajali usalama na maslahi ya wananchi. Tujitokeze kwa wingi tarehe 23, lakini kwa sharti hili muhimu.
Mbowe yupo Qatar! Lissu ameonekana arusha juzi
 
Mbowe alisikika akisema "jamani wananchi wenzangu naombeni mkapambanie uhuru wenu naombeni mjitokeze tarehe 23 fanyeni vurugu msikubali kuonewa mimi nipo likizo Qatar, nitakuja mwezi ujao kanipambanieni mniwakilishe vyema"
 
Back
Top Bottom