Naunga mkono suala la kubinasifisha Bandari ya Dar es Salaam

Jinga Kabisa lisiloelewa chochote. Soma basi hata diploma ya economics. Ukisoma huwezi kuwa na akili mgando kama hii
Wewe ndie mfano wa viongozi wa taifa hili mliotufelisha, mlienda shule kuongeza maarifa msiyojua kuyatumia, badala yake mnarudi tena kwa wazungu wawasaidie kujisimamia, ajabu bila aibu unakuja hapa kujiona genius uliyosomea diploma ya uchumi.!!
 
Ni shirika gani la ndege Africa linatengeneza faida ?
 
Sijaona mahali mtoa mada amesema wapewe wageni.yeye kazungumzia kubinafsisha.punguza mihemko.
Lengo la kubinafsisha ni kwa ajili ya kuwapa Waarabu au Wachina hakuna jambo jingine hapo.
Watu wenyewe ni akina Mwigulu Nchema,January Makamba na Ridhiwani Kikwete chini ya Bunge bubu la Tulia Acksoni nchi itabaki mifupa tu.
 
Hapo ndiyo akili yako ikoishia? Bandari ni kitu kidogo? Na TANESCO, TTCL n.k ni vitu vidogo? Tumia akili kufikiri. Kutawala na kufanya biashara ni vitu viwili tofauti. Serikali ilishajitoa ktk shughuli za uzalishaji na biashara. Hata TANESCO na TTCL vinatakiwa vibinafsishwe, wenzetu wazungu serikali haizalishi wala kufanya biashara, sasa sijui ni ukoloni upi unauzungumzia.
 
Lengo la kubinafsisha ni kwa ajili ya kuwapa Waarabu au Wachina hakuna jambo jingine hapo.
Jama wewe huwezi kuendesha kwanini wasipewe wanaoweza kuendesha?

Ukikataa kwa hiyari watu wanakukopesha hakafubwanachukuwa kiulaini kabisa.

Hata nyumbani ni hivyo hivyo kama wewe huwezi watu wanakugongea.
 
Kwanza we mwenyewe una elimu yoyote ya uchumi? Isijekuwa unatafuta Kosa lake in a layman's search. Ukitafuta Kosa lake wakati hata hujui Kosa ni Nini huwezi kuliona
Msomi ukiulizwa swali unatakiwa straight ujibu, na sio ujibu kwa kuuliza swali, hiyo ni dalili ya kutojielewa.
 
Wewe ndie mfano wa viongozi wa taifa hili mliotufelisha, mlienda shule kuongeza maarifa msiyojua kuyatumia, badala yake mnarudi tena kwa wazungu wawasaidie kujisimamia, ajabu bila aibu unakuja hapa kujiona genius uliyosomea diploma ya uchumi.!!
Marekani inadaiwa na china sana tu. Kukopa ni moja ya maendeleo chanya. Ungesema ungejua. Shida ya nyie elimu ndo tatizo
 
mfuate huyo mshamba mwenzio kaburini, yule ndio alikuwa hajui hata anafanya nini, shukuru Mungu ameondoka.
 
Serikali yetu ibaki kwenye kutoa huduma zipi? elimu? afya? maji? umeme? kote huko bado kuna matatizo miaka 60 baada ya kupata uhuru.

Narudia tena, serikali yetu nayo ibinafsishwe kwanza, kabla hatujafikiria kubinafsisha hizo taasisi nyingine.
 
Jama wewe huwezi kuendesha kwanini wasipewe wanaoweza kuendesha?

Ukikataa kwa hiyari watu wanakukopesha hakafubwanachukuwa kiulaini kabisa.

Hata nyumbani ni hivyo hivyo kama wewe huwezi watu wanakugongea.
Tunataka nchi yoyote duniani iliyowahi kufanya hivyo na kufanikiwa ili na sisi tufanikiwe.
 
Kaunde kampuni wewe halafu uombe kuendesha bandari hukatazwi
 
Wewe ndie mfano wa viongozi wa taifa hili mliotufelisha, mlienda shule kuongeza maarifa msiyojua kuyatumia, badala yake mnarudi tena kwa wazungu wawasaidie kujisimamia, ajabu bila aibu unakuja hapa kujiona genius uliyosomea diploma ya uchumi.!!
Marekani inadaiwa na china sana tu. Kukopa ni moja ya maendeleo chanya. Ungesema ungejua. Shida ya nyie elimu ndo tatizo
Nipo vizuri eneo hilo, ulipaswa usema kakosea wapi
Unajua kitu kinaitwa Modigliani theories? Unajua input and output models and how they work?
 
Wengi wenu hamjielewi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…