Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Kiufupi ccm hawana uchungu na tanzania tukicheka nao wakimaliza bandari wanaenda uza Kilimanjaro kwasabu hizi kwqmba mlima unaingizia taifa asala.Uafrika hasa utanzania ni LAANA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi ccm hawana uchungu na tanzania tukicheka nao wakimaliza bandari wanaenda uza Kilimanjaro kwasabu hizi kwqmba mlima unaingizia taifa asala.Uafrika hasa utanzania ni LAANA.
Uafrika hasa utanzania ni LAANAWatanzania ni wezi imeshindikana kuwadhibiti kutokana na aina ya viongozi iliyopo na wanalindana sana kwenye wizi wao hivyo serikali haipati pesa zinazo stahiLi kupitia badari bora kuwapa wawekezaji tuu
Mkuu.Kiufupi ccm hawana uchungu na tanzania tukicheka nao wakimaliza bandari wanaenda uza Kilimanjaro kwasabu hizi kwqmba mlima unaingizia taisa asala.
Na ni rahisi kujua ni nani ameshindwa kazi. TPA ipo chini ya Wizara, Wizara inaongozwa na Waziri aliyeteuliwa na Raisi.Hio Bandari ya Dar kama ingejengwa ya Baganoyo na ya Bagamoyo ikawa ni private na ya Dar ikawa ni ya Serikali bila shaka meli zingehamia Bagamoyo na ya Dar ingekuwa kama TTCL now.
Hata mimi kwa hili naunga mkono zaid ya 1000000% serikali inashindwa kuwasimamia watu iliyo waajir yenyewe
Mkuu.Kiufupi ccm hawana uchungu na tanzania tukicheka nao wakimaliza bandari wanaenda uza Kilimanjaro kwasabu hizi kwqmba mlima unaingizia taifa asala.
Ndiyo mkuu uko sahihi wezi wanafikiria namna ya kunufaisha familia zao.Bandari ni suala la usalama wa taifa, ni mpaka wa nchi.
Ukweli ndiyo tena wanasaini mikataba ya Karne ili familia zao,watoto,wajukuu,na vitukuu wao waendelee kuwa exempted material.Na njia moja kubwa wanayotumia kwenye kujinufaisha hi hii ya MIKATABA. Ukisikia kuna MKATABA umesainiwa, angalia kwa jicho la tatu, utaona nia halisi ya nyuma ya pazia.
Dawa ni kuiondoa CCM bila hivyo tutaendelea kuteseka.Mkuu.
Uafrika hasa Utanzania ni LAANA.
Waafrika na watanzania kwa ujumla ni kama Ma ng'ombe yanayo swagwa wala hayajui yanapo pelekwa ni kupelekwa msobe msobe tu bila kuhoji uelekeo wao.
Ikifikia wakati wa uchaguzi yanakuwa kama manyumbu yana sahau shida na matatizo yanayo wakumba na kuendelea kuwachagua viongozi walewale wala rushwa na wanyonyaji.
Inabidi mkoloni arudi kutawala hili bara kwa viboko na mijeledi.
Una akili sana ila tu hujielewiKuwaachia kila kitu wawekezaji maana yake tunakiri hatuwezi kujitawala, ni bora sasa tumrudishe mkoloni arudi kwasababu naamini kabisa, jinsi mambo yanavyoendelea serikalini kwa sasa, pia tunahitaji kuibinafsisha serikali yetu.
Hivyo sioni sababu kwanini tuendelee kuwaza kubinafsisha vitu vidogo dogo, wakati kule juu penye tatizo la msingi tunaendelea kupaacha kama palivyo, alaah, kumbe inawezekana hata vichwa vyetu pia vinatakiwa kubinafsishwa, kwasababu fikra zetu nazo ni mgando.
Waziri husika ndiye aliyeshindikwa kazi.Na ni rahisi kujua ni nani ameshindwa kazi. TPA ipo chini ya Wizara, Wizara inaongozwa na Waziri aliyeteuliwa na Raisi.
ccm mnaamini nchi hii ni malie yenu na familia zenu ndio maama wamekuwa wakisema hawezi kukabidhi ikulu kwa mtu yoyote hadi wauze kilakituWaziri husika ndiye aliyeshindikwa kazi.
Unamawazo ya kizamani sana hayaendani na dunia ya leo..Kuwaachia kila kitu wawekezaji maana yake tunakiri hatuwezi kujitawala, ni bora sasa tumrudishe mkoloni arudi kwasababu naamini kabisa, jinsi mambo yanavyoendelea serikalini kwa sasa, pia tunahitaji kuibinafsisha serikali yetu.
Hivyo sioni sababu kwanini tuendelee kuwaza kubinafsisha vitu vidogo dogo, wakati kule juu penye tatizo la msingi tunaendelea kupaacha kama palivyo, alaah, kumbe inawezekana hata vichwa vyetu pia vinatakiwa kubinafsishwa, kwasababu fikra zetu nazo ni mgando.
Msimamizi wake halioni hilo?Waziri husika ndiye aliyeshindikwa kazi.
Waziri husika ndiye aliyeshindikwa kazi.
Mleta uzi anahitaji kubinafsishwa haraka sana,ni hasara kwa taifaKuwaachia kila kitu wawekezaji maana yake tunakiri hatuwezi kujitawala, ni bora sasa tumrudishe mkoloni arudi kwasababu naamini kabisa, jinsi mambo yanavyoendelea serikalini kwa sasa, pia tunahitaji kuibinafsisha serikali yetu.
Hivyo sioni sababu kwanini tuendelee kuwaza kubinafsisha vitu vidogo dogo, wakati kule juu penye tatizo la msingi tunaendelea kupaacha kama palivyo, alaah, kumbe inawezekana hata vichwa vyetu pia vinatakiwa kubinafsishwa, kwasababu fikra zetu nazo ni mgando.
Alishindwaje ikiwa mlimua baada ya kuwa tishio kwenu?Magufuli mwenyewe alishindwa achana na porojo zake
Nafikiri hajalifikiria hili jambo vizuri.Huna uzalendo kwa nchi yako hata robo inawezeka wewe ni mterahamwe sio rai wa Tanzania.
Ni sahihi Mkuu, kila mmoja apewe malengo ya kutimiza na iwapo akashindwa basi nafasi yake ijazwe na mwingine.Umetoa hoja nzuri but hii syteam isiwe kwa viongozi wa juu tuu bali iende mpaka kwa wafanyakazi wa chini kila mtu ajue jukumu lake ni lipi
Waku iondoa HAWAPO.Dawa ni kuiondoa CCM bila hivyo tutaendelea kuteseka.