Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Kwan wakibinafsisha pesa zotozokua zinatolew kwa serikali hawatozipiga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kama january ataihonga iyo kamatiUkweli kubinafsishwa sioni kama ni busara. tuone mfumo wa uendeshaji mashirika ya umma ndio tatizzo kubwa, ubadilike, isaidie kuwabana wateule au uongozi wake. Hivi hakuna kiongozi anayeumia kwa kuchagua fisadi eti kwa sababu unamfahamu au anafahamia na wapambe wako.
Turudi kwa Rais kwa Rais Mkapa, ili kiongozi aombe, na kweka vigezo vya utekelezaji; kwamba kila mwaka anapimwa kwa utekelezaji wake na kamati maalum ya usimamizi wa mashirika ya umma. Kila shirika lijulikane madhaifu yake ya kuboresha.
Ndio tupangishe ila siyo kwa miaka Mia duhIfike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji.
Kwa taarifa zaidi soma hapa >> Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam
Mashirika ya umma kama Bandari, Tanesco, Maji, sijui Posta, TTCL, ATCL, na zinitakiwa kuingia sokoni kuuzwa.
Hiyo Bandari ya Dar kama ingejengwa ya Baganoyo na ya Bagamoyo ikawa ni private na ya Dar ikawa ni ya Serikali bila shaka meli zingehamia Bagamoyo na ya Dar ingekuwa kama TTCL now.
Tanesco angali utendaji wao, lazima wafuatwe offisini uwe unajuama na mfanya kazi mmoja wapo, na sio tu kufuatana na kuwapa rushwa juu, sasa ingekuwa inasimamiwa na watu weupe unazani kungekuwa na kufuatana offisini?
Angalia TTCL haijulikani kazi zao kwa sasa, hivi TTCL ilikuwa ni ya kushindwa hadi na wakina Haloteli? TTCL ilipaswa kuwa sawa na Vodacom, ila Kwa sababu ni Mali ya Umma hakuna anaye jali pale na imejaa wafanya kazi wengi kuliko ufanisi na hakuna anajali.
Mamlaka za maji zimejaa upigaji tupu, unafuatilia kuunganishiwa maji hadi unachoka na lazima uhonge la sivyo hutakaa uunganishiwe maji.
Kwani Bandari ikikodishwa hao wanao kodisha watakuja kuondoka nayo? Wataihamisha? Tuachane na ujamaaa
Sio mazombi tu mkuu bali ni LAANA.Sisi wabongo ni mazombi asee
Kwahyo yule muarabu ndio unaoan anawezaa SAS umezaliwa Kuja kutawaliaa na uwezi kufanya kituNaunga hoja mkuu serikali yetu kwenye mashirika Haina uwezo wa kuyaendesha wabinafsishe wabaki kukusanya Kodi tu huko naona kidogo wanajiweza lakini usimamizi ni mbovu kwakweli
Serikali yetu imejaa wezi na wapigaji wa kila aina pale Bandari. Kama suala la NBC lilikuja na majibu tofauti na matarajio yetu sio kigezo cha kuwanyima hawa jamaa wa Dubai wakaendesha bandari yetu.Akili za hovyo kabisa hizi, kwa hiyo furaha yako uwape wageni wakuendeshee mambo yako wewe uendelee na story za pwagu na pwaguzi kwenye kijiwe cha kahawa.
Kama mnataka kubinafsisha kwa nini msiwambie watanzania wenyewe waunde makampuni waiendesha, au ndo ule jenerali Ulimwengu aliuita ugenishaji.
I feel you, lakini Hapana, uTanzania (uTanganyika) sio Laana,Uafrika hasa utanzania ni LAANA
Wewe unamuona tundu lissu kama mtu safi, kalagha bhao, huwa Najaribu kuunda serekali ya chadema kifikra huwa nashindwa kujua itakuwaje?, mfano rais TL, Makamu wa rais yule with zanzibar, Waziri mkuu mbowe, Waziri biashara sugu, Mambo ya ndani lema, hivi mnadhani hapo patakuwa na nchi kweli?Ukweli ni kwamba hawa watu wanakuja na sababu za kijinga eti bora bandari ibinafsishwe kwasaba watanzania ni wezi jambo ambo sio kwrli
ni hivi mashirika ya umma na mamlaka yamejaa makada wa ccm unategemea nini
kumaliza huuu ujinga inatakiwa Watanzania tuamke asubuhi tuamasishane wote nchi nzima tuitoe ccm bilakukupepesa macho lasivyo tuendelee kuvuna mabua.
Kisha tumuweke mtu kama Tundu Lissu awaminye kende watapike malizo zote walizoiba tangu uhuru hadi leo tuakikishe wanarudisha kila kitu cha Taifa hili
Kwa akili zako za kufirika hakuna nchiWewe unamuona tundu lissu kama mtu safi, kalagha bhao, huwa Najaribu kuunda serekali ya chadema kifikra huwa nashindwa kujua itakuwaje?, mfano rais TL, Makamu wa rais yule with zanzibar, Waziri mkuu mbowe, Waziri biashara sugu, Mambo ya ndani lema, hivi mnadhani hapo patakuwa na nchi kweli?
Hii Bandari iligeuzwa shamba la bibi la watu wachache kuchuma harafu wengine tunabakia kuwa Wapenzi watazamaji..Ifike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji.
Kwa taarifa zaidi soma hapa >> Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam
Mashirika ya umma kama Bandari, Tanesco, Maji, sijui Posta, TTCL, ATCL, na zinitakiwa kuingia sokoni kuuzwa.
Hiyo Bandari ya Dar kama ingejengwa ya Baganoyo na ya Bagamoyo ikawa ni private na ya Dar ikawa ni ya Serikali bila shaka meli zingehamia Bagamoyo na ya Dar ingekuwa kama TTCL now.
Tanesco angali utendaji wao, lazima wafuatwe offisini uwe unajuama na mfanya kazi mmoja wapo, na sio tu kufuatana na kuwapa rushwa juu, sasa ingekuwa inasimamiwa na watu weupe unazani kungekuwa na kufuatana offisini?
Angalia TTCL haijulikani kazi zao kwa sasa, hivi TTCL ilikuwa ni ya kushindwa hadi na wakina Haloteli? TTCL ilipaswa kuwa sawa na Vodacom, ila Kwa sababu ni Mali ya Umma hakuna anaye jali pale na imejaa wafanya kazi wengi kuliko ufanisi na hakuna anajali.
Mamlaka za maji zimejaa upigaji tupu, unafuatilia kuunganishiwa maji hadi unachoka na lazima uhonge la sivyo hutakaa uunganishiwe maji.
Kwani Bandari ikikodishwa hao wanao kodisha watakuja kuondoka nayo? Wataihamisha? Tuachane na ujamaaa
Iligeuzwa shamba la bibi na nani?Hii Bandari iligeuzwa shamba la bibi la watu wachache kuchuma harafu wengine tunabakia kuwa Wapenzi watazamaji..
Naipongeza Serikali kuweka investor Cha msingi wakubaliane pesa Kwa mwaka Ili awatimue wale wezi na waliokuwa wanaleta inefficiency..
Iende Hadi kwenye sekta zingine mfano tuna Kampuni ya Ranchi ya Taifa hakuna wanachofanya ni upuuzi tuu.
Serikali imejaa wezi na wapigaji? Unakubali kuwa sisi Kama sisi hatuwezi kuendesha hata hii serikali?Serikali yetu imejaa wezi na wapigaji wa kila aina pale Bandari. Kama suala la NBC lilikuja na majibu tofauti na matarajio yetu sio kigezo cha kuwanyima hawa jamaa wa Dubai wakaendesha bandari yetu.
Huko USA bandari nyingi tu zinaendeshwa na makampuni ya kukodisha, sisi tuna kipi chenye kuwazidi hao wamarekani kiuchumi na katika suala zima la tija itakayopatikana hapo bandarini?.
Kama mleta mada hatumiwi bila ya kujijua basi hana uwezo wa kutazama hasara tunayopata kama Taifa kwa bandari kuendelea kuendeshwa na kundi la wapigaji.
Maana uhalisia ni kwamba wapigaji huwa wanabadilishwa kadri ya awamu mpya ya uongozi inapoingia madarakani, madudu ni yale yale ya miaka yote.
Uafrika hasa utanzania ni LAANASerikali imejaa wezi na wapigaji? Unakubali kuwa sisi Kama sisi hatuwezi kuendesha hata hii serikali?
Kama tatizo ni wapigaji, si Kuna mamlaka ? Kuna raisi? Kwa nini hao wapigaji wasiadhibiwe? Au unataka kusema raisi na vyombo vya dola hawawezi kusimamia serikali?
Kesho wapaji wakiwa ikulu, inabidi ikulu nayo apewe mtu wa nje kuiendesha?
Tunatetea Jambo ambalo ni gumu
Hiyo list ndani mwaka moja pesa zote tangu uhuru mtazitapika tu mkishindwa hadi wake zenu watanadishwa kurudi pesa za umma.Wewe unamuona tundu lissu kama mtu safi, kalagha bhao, huwa Najaribu kuunda serekali ya chadema kifikra huwa nashindwa kujua itakuwaje?, mfano rais TL, Makamu wa rais yule with zanzibar, Waziri mkuu mbowe, Waziri biashara sugu, Mambo ya ndani lema, hivi mnadhani hapo patakuwa na nchi kweli?
Bandari ni moja ya mpaka muhimu sana ambao Usalama wake una Maslahi makubwa kwa Taifa letuIfike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji.
Kwa taarifa zaidi soma hapa >> Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam
Mashirika ya umma kama Bandari, Tanesco, Maji, sijui Posta, TTCL, ATCL, na zinitakiwa kuingia sokoni kuuzwa.
Hiyo Bandari ya Dar kama ingejengwa ya Baganoyo na ya Bagamoyo ikawa ni private na ya Dar ikawa ni ya Serikali bila shaka meli zingehamia Bagamoyo na ya Dar ingekuwa kama TTCL now.
Tanesco angali utendaji wao, lazima wafuatwe offisini uwe unajuama na mfanya kazi mmoja wapo, na sio tu kufuatana na kuwapa rushwa juu, sasa ingekuwa inasimamiwa na watu weupe unazani kungekuwa na kufuatana offisini?
Angalia TTCL haijulikani kazi zao kwa sasa, hivi TTCL ilikuwa ni ya kushindwa hadi na wakina Haloteli? TTCL ilipaswa kuwa sawa na Vodacom, ila Kwa sababu ni Mali ya Umma hakuna anaye jali pale na imejaa wafanya kazi wengi kuliko ufanisi na hakuna anajali.
Mamlaka za maji zimejaa upigaji tupu, unafuatilia kuunganishiwa maji hadi unachoka na lazima uhonge la sivyo hutakaa uunganishiwe maji.
Kwani Bandari ikikodishwa hao wanao kodisha watakuja kuondoka nayo? Wataihamisha? Tuachane na ujamaaa
TRA itabinafsishwa pia kwenye baadhi ya vitengo na kubakiza vitengo vichache, ila ubinafsishwaji wa kimfumo, huduma nyingi zitaingizwa kwenye mifumo ya electronic na kuwa operated na mashine hivyo watengeneza mashine za mifumo ndo watachukua nafasi.Hapo serekali ndio inatakiwa kubadilika ukishindwa kuendeshe bandari Kuna siku utabinafsisha TRA