Naungana na Dkt. Lwaitama kuhusu Katiba Mpya

CCM hawatakaa wakubali, hawa Jamaa huwa hawapendi Amani

..mnajua kwamba Ccm walikamilisha BUNGE MAALUM LA KATIBA na kutoka na kitu kinaitwa Katiba Pendekezwa.

..Na Katiba Pendekezwa ilikuwa iletwe kwetu wananchi na kupitia KURA YA MAONI tulitakiwa tuikubali, au tuikatae.

..Mama Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, wakati Mwenyekiti akiwa Samuel Sitta.
 
Wanasia watakwamisha katiba, wao hushawishi zitengezezwe sera ili waendelee kufanya siasa, (uncertainty policies), sera ambazo hazina muelekeo pia hawajui madhara ya hizo sera huko baadae, (they do not know the aftermath of policies approved)

Wanasiasa tumeshuhudia wakiahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data, huwa wanaenda maporini kufanya siasa na kuchimba dawa bila kutumwa
 
Vyama vya upinzani Tanzania havina nguvu wala uwezo tu wa kuitoa CCM.

Mbona Rais wa Zambia Aikande alishinda uchaguz wa urais bila katiba mpya?Huu ni uongo wa hivi vyama visivyo na democracy kwamba tubadilishe katiba. Ili vishinde. Yaan huyu Dr Lywaitama,mm nilitegemea aje na mawazo mbadala kuwa, kila mtanzania ajiandikishe na apige kura. Lakin anakuja na ujinga kuwa, tubadili katiba. Mbona Kenya walibadili katiba na bado kukawa na matatizo?

Mm nafikiri, CCM haipo sawa na upinzani pia wapo hovyo.Sio kuiponda tu CCM sio kweli. CDM, haina democracy, inakauli nyingi za uongo na mihemko, utafikiri wao tu ndio wana haki. Mfano, BAWACHA wamechoma vitenge vya SAMIA na kusema SAMIA must go. Huo ni uvunjifu wa amani sio sawa. Na wakikomaliwa watasema wanaonewa.

ACT wao ni wadini.Ukifuatilia wapo zaidi sehemu za waislam.Mfano, Tunduru, Pemba etc. Sasa kuishinda CCM sio rahisi.Labda mjitahidi muwe na wabunge kama wakina Sugu ambao mwisho watawaonyesha kuwa wamejenga hotel basi.
 
Sahihi
 
Labda CCM ife kwanza, adui wa amani na haki Tanzania na wasiotaka asilani katiba mpya ni CCM.

Umeishawahi kumsikiliza mzee wao wa hovyo wanayependa kumtumia kupotosha kweli kuhusu umuhimu wa katiba Wassira?
πŸ’―
 


..vyama vya upinzani bado ni vichanga mno.

..CCM haipaswi kupinga katiba mpya kwa hofu kwamba itasababisha ishindwe na vyama vya upinzani.
 
Na Tuna bahati ya kuwepo Prof Issa Shivji na Mzee Mstaafu Jaji Warioba. Na Hilo angalizo la wanasiasa lizingatiwe
 
Kama anayeamuwa uwepo wa katiba mpya ni rais, hilo halitaweza kutokea. Δ°li iweje?

Watu wanaogelea kwenye asali we eti unasemaje?
Mtu anayekata Katiba Mpya basi ujue huyo hayupo Kwa ajili ya Taifa Bali Kwa ajili ya kikundi cha mafisudi
 
Halafu ikawaje? Ile ilikua hadaa
 
Dr Lwaitama sijui Yuko wapi siku hizi, enzi zile Udsm alikua ananivalia maviatu flani ya ki-gangstar sana. Anakuvalia likiatu flani hivi kama la Babu yangu wa kule Masoko-Tukuyu.
 
Ubaya wa Chihiem utauona endapo uki temper na mambo yanayohatarisha existance yake. Yani wazo lolote la ku demolish powers zake hawalitaki ikiwemo hilo la katiba mpya sababu mtakapoitwist tu ikavuruga mpango wa mwenyekiti na tume maana watakuwa vulnerable na weak na wataangushwa kirahisi mno.
 
Hii iliyopo inatumika kwa ufanisi wa hali ya juu kwenye kuadhibu na kukomoa raia tu ila ikifikia vipengele vya watawala kuwajibika vinakuwa ignored.
 
kwa maoni yangu nadhani suala la katiba sio muhimu kabisa kwa sasa ukilinganisha na yale mahitaj muhimu sana ya wananchi kama vile maji, afya, elimu, kilimo n.k ambayo ni muhimu zaidi
Ukipata viongozi waadilifu, na wenye akili hayo mahitaji ya msingi hawawezi kuwa shida miaka yote hii na hasa kuzingatia mazingira mwenyezi Mungu aliyotujalia.
Viongozi WA Aina hii wanapatikana kupitia SIASA Bora zinazozaliwa na katiba
 
Kwa hii comment unaonekana dhahiri kuwa ni chawa. Kiufupi CCM haiwezi kuachia madaraka kupitia sanduku la kura maana wana njia za ku bypass na ku manipulate mfumo na wakaendelea kusalia madarakani.

Ukisema wapinzani wahimize watu kupiga kura tu huo ni uwongo na hilo halitakaa lilete matokeo forever. Hii ndio kete CCM huitumia kufanya utetezi kwamba wao wapo kwa mujibu wa sanduku la kura za wananchi πŸ˜‚ hivyo na wapinzani nao wabuni sera nzuri ili waweze kupigiwa kura nyingi zaidi ili wapewe dola.
 
CCM Wametwambia huwa wanaenda maporini kuhakikusha wanashinda kwenye chaguzi, wewe unaacha shughuri zako kwenda kupiga kura tena kwa yule unaye muamini awe muwakilishi wako lakini CCM wanaenda maporini kuchakachua matokeo tunayasema haya tena kwa kurudia rudia, (kwa kukera), kwasababu wawo wenyewe wamethibitisha hivyo
 
Ukipata viongozi waadilifu, na wenye akili hayo mahitaji ya msingi hawawezi kuwa shida miaka yote hii na hasa kuzingatia mazingira mwenyezi Mungu aliyotujalia.
Viongozi WA Aina hii wanapatikana kupitia SIASA Bora zinazozaliwa na katiba
Gentleman,
yaani viongozi wazuri wapatikane kwa kukaa pembeni na kulalamika badala ya kushiriki siasa na kuja na nawazo mapya na fikra mbadala?

Just imagine anaelalamikiwa nae ana maoni na mtazamo wake. Sasa usipokua na influence ya mawazo mapya na fikra mbadala nani atakuskiza πŸ’

Maybe mtaskizana walalamikaji pekee 🀣
 
Swali fikirishi je mfumo tulio nao huyachukua mawazo mazuri tunayo yapendekeza humu, maana hatuna majukwa rasmi, hapa jf tunalazimisha kuzijenga hoja ambazo wahusika ikiwapendeza wanaweza zichukuwa endapo ni wanufaika ama kwa wale wanao fikiri kizalendo, ambao niwachache sana kama wapo
 


hili ni jukwaa muhimu sana kuwasilisha maoni na mtazamo juu ya masuala yahusuyo siasa, na yanaskizwa vizuri sana, na yale maoni na mawazo mazuri, wahusika huyachukua na huyafanyia kazi vizuri tu, na yale yasiyohitajika huskizwa tu na kuachwa kama yalivyo..

Hata hivyo, fursa muhimu yenye nguvu na ya kipekee sana ni ile ya kushiriki kupiga kura kwenye chaguzi ambayo wengi huipuuza hali ya kua ndiyo hasa wasaa wa wao kuamua πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…