Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
822
Reaction score
2,966
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.

Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu.

Ugali nj kama matofali , haina vitamin wala nini , ni starch juu ya starch.

Kama una pesa ya maana acha kula matofali
 
ugali ni chakula cha watanzania binafsi napendelea kula ugali

acha nikueleze jambo moja rahisi ugali ni mboga, asikudanganye mtu ugali hauna ubaya wowote tatizo watu wanachemka kwenye mboga hali inayopelekea kuuchukia ugali mfano ugali utaula vipi na makabeji kisha upende
 
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.

Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu.

Ugali nj kama matofali , haina vitamin wala nini , ni starch juu ya starch.

Kama una pesa ya maana acha kula matofali
Wewe na muhaya wako ni ma-hopelesses!Mmezoea kula uji wa ndizi kwa senene.
 
ugali ni chakula cha watanzania binafsi napendelea kula ugali

acha nikueleze jambo moja rahisi ugali ni mboga, asikudanganye mtu ugali hauna ubaya wowote tatizo watu wanachemka kwenye mboga hali inayopelekea kuuchukia ugali mfano ugali utaula vipi ugali na makabeji kisha upende
Pombe juu bwashee
 
Huo ugali watoto hawaupendi ila wanakula kwa kulazimishwa ,unakulaje ugali usiku ?

Naona watoto wakienda kwenye sherehe kama wamaeona kitu kipya wakiona wali au pilau .. Watanzania vyakula wanapika ili siku ziende ila hata watoto majumbanki hawapendi kula hivyo vyakula.
 
Nyie wa mjini ambao mnaishi na kunenepeana hovyo ugali hauwafai, ila sisi wa vijijini tumekua kwa kula viporo tangu asubuhi na tuna afya njema.

Hayo magonjwa yasiyoambukiza kama BP, Kisukari na Kansa tunayasikia kwenu.

Sisi tunakula wanga asubuhi, mchana na usiku tena kwa kiwango kikubwa lakini tuna muonekano mzuri, afya njema na hatutishwi na Panya road
 
ugali ni chakula cha watanzania binafsi napendelea kula ugali

acha nikueleze jambo moja rahisi ugali ni mboga, asikudanganye mtu ugali hauna ubaya wowote tatizo watu wanachemka kwenye mboga hali inayopelekea kuuchukia ugali mfano ugali utaula vipi ugali na makabeji kisha upende
Mbona kuyaita makabeji? Zile mbona nzuri tu usipoziwekea Nyanya .Ziwekewe hoho na karoti tu.
 
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.

Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu.

Ugali nj kama matofali , haina vitamin wala nini , ni starch juu ya starch.

Kama una pesa ya maana acha kula matofali
West africa ugali unalika sana known as fufu,East africa na Southern africa ugali unalika hasa,so ugali ni chakula chetu sisi waafrika
 
Back
Top Bottom