Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

Tatizo sio ugali ila aina ya zao lililotumika kutengeneza huo ugali, kwa mfano Nigeria wao wanakula ugali wa unga wa mihogo unaosemekana kuwa na afya kuliko huu wa mahindi.
Ugali ndio chakula pekee chenye kuleta nguvu mwilini na kuhimili kazi za shuruba.
Wazungu wao acha wale Piza na burger sio kila kitu tuwaige wazungu.
 
Back
Top Bottom