Pia watu wengi wanaochukia ugali hawajui kuupika, wanapika ugali mgumu lakini hauiviugali ni chakula cha watanzania binafsi napendelea kula ugali
acha nikueleze jambo moja rahisi ugali ni mboga, asikudanganye mtu ugali hauna ubaya wowote tatizo watu wanachemka kwenye mboga hali inayopelekea kuuchukia ugali mfano ugali utaula vipi na makabeji kisha upende