Dagaa kisamvu mlenda samaki kuku vyote na ugali ongeza na mtindi juu. Ugali mtamuShida Si Ndigwa(Ugali)....Mchawi Mboga.....
Wale samaki waliokaushwa na jua mkuu na ilo jina ni maarufu sana kanda ya ziwaKibambala ndo nn
Tatizo sio ugali ila aina ya zao lililotumika kutengeneza huo ugali, kwa mfano Nigeria wao wanakula ugali wa unga wa mihogo unaosemekana kuwa na afya kuliko huu wa mahindi.West africa ugali unalika sana known as fufu,East africa na Southern africa ugali unalika hasa,so ugali ni chakula chetu sisi waafrika
we ni muongo 🤣🤣🤣🤣 au laah! Mpishi wako anazinguaShida ya kibambala ukila hadi ukaoge ndiyo harufu ikate
Bwanaaaa mbona me nikipika sipati shomboHilo shombo la kibambala hapana aysee
Sijui hata kupikq...ila nshawahi kula sehem..ni kama inanukia moshi iv...sikukielewa..au labda mapish?Bwanaaaa mbona me nikipika sipati shombo
Uwa mnampikaje??
DR HAYA LAND sawa daktraKwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.
Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu.
Ugali nj kama matofali , haina vitamin wala nini , ni starch juu ya starch.
Kama una pesa ya maana acha kula matofali
Mnoooo....Dagaa kisamvu mlenda samaki kuku vyote na ugali ongeza na mtindi juu. Ugali mtamu
Itakuwa mpishi alichemka.. ungekuwa ulipika nyumbani ningekuelekeza..Sijui hata kupikq...ila nshawahi kula sehem..ni kama inanukia moshi iv...sikukielewa..au labda mapish?
Chakula ni asili kama ilivyo lugha. Ni hayawani tu ndio anaweza kujadili nini cha kuliwa na nini si cha kuliwa.Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.