uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.
Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu.
Ugali nj kama matofali , haina vitamin wala nini , ni starch juu ya starch.
Kama una pesa ya maana acha kula matofali
Hata ningekuwa milionea, ugali nitakula tu siku zote as long as naweza control mazara yake