Naungana na jamii ya kimataifa kutompa ushirikiano mheshimiwa Uhuru Kenyatta

Heshima mbele,

Nimeshangazwa sana na maamuzi Wakenya waliyochukua, Naomba kuungana na jamii za kimataifa hususani Marekani ambayo tayari imetanabaisha kutoiunga mkono serikali ambayo Kenyatta atachukua nafasi kuiongoza.

Nawaza huyu bwana atainua vp uchumi,atafanya biashara na nani angali wamagharibi wameshaanza kumwekea ngumu.Sina uhakika asilimia mia moja kama haya maamuzi kweli yametoka mioyoni mwa Wakenya.

Hata kama siasa ya Kenya ni ya ukabila lakini ukabila gani unaoamini udhaifu wa mtu katika kupewa nafasi nzito kama hiyo?

Je ikitokea tuhuma zinazowakabili zikawafunga je nchi itaongozwa na nani?

Wakenya mtashangilia leo ila kazi mnayo,time will tell.

Kwani Bongo tunafanya Biashara gani na US?
Au Libya waliwahi lini kuwanyenyekea hao watu wa Magharibi?
Inatakiwa ujuwe je nikikwaruzana na nchi za Magharibi je watasitisha kununua bidhaa zangu?
Au wao hawataniuzia bidhaa zao?
Sasa may be jamaa anajuwa hawawezi mzingua...
 
Heshima mbele,

Nimeshangazwa sana na maamuzi Wakenya waliyochukua, Naomba kuungana na jamii za kimataifa hususani Marekani ambayo tayari imetanabaisha kutoiunga mkono serikali ambayo Kenyatta atachukua nafasi kuiongoza.

Nawaza huyu bwana atainua vp uchumi,atafanya biashara na nani angali wamagharibi wameshaanza kumwekea ngumu.Sina uhakika asilimia mia moja kama haya maamuzi kweli yametoka mioyoni mwa Wakenya.

Hata kama siasa ya Kenya ni ya ukabila lakini ukabila gani unaoamini udhaifu wa mtu katika kupewa nafasi nzito kama hiyo?

Je ikitokea tuhuma zinazowakabili zikawafunga je nchi itaongozwa na nani?

Wakenya mtashangilia leo ila kazi mnayo,time will tell.

Hapo kwenye red inawezekana sana huyu jamaa yuko kwenye list ya matajiri wa afrika - pesa yawezahamisha milima, yaweza kumfanya mhalifu kuonekana raia mwema
ila kama wakenya hawakufanya maamuzi sahihi lazima yatawagharimu
 
Nafurahi sana "manuu" unapata kiburi cha kubwabwaja humu kwa nguvu za wazungu. Bila mzungu haya matapishi yako uliyoweka hapo juu nisingeyaona. Siamini kila anachosema mzungu ila i acknowledge that they are the best,they step ahead than us

Who said they should always be ahead? Kwani sisi tutaongoza lini? Soma historia ya Africa vyema. Hata hao Aristotle na Socrates fuatilia source ya 'knowledge' yao!
 
Ameshakuwa Rais uone kama ICC itamshika! Mbona Omar Bashir wa Sudan anatafutwa na anapeta mpaka leo! Acheni propaganda za wazungu
 
vp kwani wewe ni Mkenya?......mambo yao si muwaachie wenyewe,kufutailia mamabo ya watu sidhani kama ni tabia nzuri,kama wao wameamua ww yanakuhusu nn,pilipili iliyo shamba inakuwashia nn?
Heshima mbele,

Nimeshangazwa sana na maamuzi Wakenya waliyochukua, Naomba kuungana na jamii za kimataifa hususani Marekani ambayo tayari imetanabaisha kutoiunga mkono serikali ambayo Kenyatta atachukua nafasi kuiongoza.

Nawaza huyu bwana atainua vp uchumi,atafanya biashara na nani angali wamagharibi wameshaanza kumwekea ngumu.Sina uhakika asilimia mia moja kama haya maamuzi kweli yametoka mioyoni mwa Wakenya.

Hata kama siasa ya Kenya ni ya ukabila lakini ukabila gani unaoamini udhaifu wa mtu katika kupewa nafasi nzito kama hiyo?

Je ikitokea tuhuma zinazowakabili zikawafunga je nchi itaongozwa na nani?

Wakenya mtashangilia leo ila kazi mnayo,time will tell.
 
Heshima mbele,

Nimeshangazwa sana na maamuzi Wakenya waliyochukua, Naomba kuungana na jamii za kimataifa hususani Marekani ambayo tayari imetanabaisha kutoiunga mkono serikali ambayo Kenyatta atachukua nafasi kuiongoza.

Nawaza huyu bwana atainua vp uchumi,atafanya biashara na nani angali wamagharibi wameshaanza kumwekea ngumu.Sina uhakika asilimia mia moja kama haya maamuzi kweli yametoka mioyoni mwa Wakenya.

Hata kama siasa ya Kenya ni ya ukabila lakini ukabila gani unaoamini udhaifu wa mtu katika kupewa nafasi nzito kama hiyo?

Je ikitokea tuhuma zinazowakabili zikawafunga je nchi itaongozwa na nani?

Wakenya mtashangilia leo ila kazi mnayo,time will tell.

Waziri ambaye anahusika na mambo ya kigeni bw Kerry wa Marekani ni mmoja aliye tuma risala za
pongezi kwa wale walio changuliwa.

Wingereza hata wao wakatuma pamoja na afrika kusini ambao walihakikisha kufanya kazi na serikali
mpya ya Kenya.

Ndugu Kikwete na Yoweri bado wakasema wako nasi.

Lakini swali ni hili,,,,,ni biashara ngani tunayoifanya na hawa mabepari kama marekani na uingereza??????

Tangu lini pakawa na biashara baina ya mwanadamu na mbu (mosquito) ambaye kazi ni kumnyemelea na
kufyonza damu yake???????

Iko wengi wakufanya biashara na na silazima awe ni hawa mabepari ambao economies
zao zinalegea legea na wakati wowote zinaelekea kuboromoka???????

Kama walifikiri wata impose leadership in Kenya kama vile walivyozoe kwingine duniani,,
ng'oooo,,,si Kenya,,,kwani Kenya ina wenyewe.

Kama walimpendelea huyu bwana Oginga,,kwanini wasitenge sehemu moja ya Marekani
ama uingereza na kumfanya rais huko??????

Kwanini watuuzie vifaa ghali vya kufanyia kura kisha kutushawishi ati ninani twafaa
kumchagua?????????

Hizo njama zao za kiutoto tumezikataa wazi wazi hapa Kenya na tafadhali wasitulee
tee.

Chaguo la walio wengi Kenya sharti lita heshimika na hakuna choice yeyote
ingine.

Kwanini wasianze kutangaza vikwazo walio tishia??????????

Hata ninashangaa ni vikwazo ngani wanaweza kutuwekea,,,,,kupiga
marufuku wana Jubelee kuto zuru Marekani na Uingereza?????

Mmmmmmmmmmm,,,,kwani hakuna mtu wakuwaeleza yakua Uingereza
na Marekani ati si binguni?????

Hata tukiwekewa marufuku ya kwenda mbinguni juu ya sababu tumemchagua
ambaye tulimpendelea kama kiongozi wetu,,,tutasema hata hiyo mbinguni
ikae.

Sisi si wajinga,,,tumekuja kugundua yakwamba hawa mabeberu hawawezi kuishi
bila sisi,,,in the third world na hasa Afrika.

Hebu tuone ni nani anaehitaji mwingine,,hebu wajaribu hiyo,,ati marufuku,,,
na tuone ninani atae kua na kicheko cha mwisho.

Kweli,,,heshima mbele,,,,afadhali nikae na njaa lakini heshima kwangu,,,,,,,
iko.

Mwafrika lazima achukue responsibility yake mikononi mwake,,na si
kuegemea kwa hawa mbu kwajina,,,, jina ati,,the west.

Mpaka lini tutakubali kuendelea kubakwa na hawa walowezi??????

Hatuhitaji misaada ya biscuits na sweets na manguo ya ma jeans yalio na uchafu,,,
hiyo,,,,,wapee wengine.
 
unaumwa bongo ya mbele, raila hawezi kuwa rais wa kenya hata kwa sekunde. wazungu wanaempigania wanajua atakachowalipa. kwanza yeye ndio anatakiwa kufungwa maisha kwa uchochez wake wa kuanzisha fujo 2007. OK JK anapendwa na western are we better than Kenyan? think like a grownup person. Obama na Uhuru watakutana somalia believe me. then what?
 
Nini maana ya kuwa nchi huru? Kwanini wamarekani watuchagulie rais? Kenya ni taifa huru. Wqi ndio wanajua nani anawafaa katika kuongoza taif lao. Acha mawawazo ya kitumwa
 
Waache tuwazidi kiuchumi we vipi.... We uoni sisi sasa hivi rwanda inatutoa kwa sababu ya akili mbovu za baadhi ya watz kumchagua Kikwete na serikali yake

Nimeipenda hii kama ulikuwa kichwani mwangu vile. Natumia simu ningekugongea like
 
Waziri ambaye anahusika na mambo ya kigeni bw Kerry wa Marekani ni mmoja aliye tuma risala za
pongezi kwa wale walio changuliwa.

Wingereza hata wao wakatuma pamoja na afrika kusini ambao walihakikisha kufanya kazi na serikali
mpya ya Kenya.

Ndugu Kikwete na Yoweri bado wakasema wako nasi.

Lakini swali ni hili,,,,,ni biashara ngani tunayoifanya na hawa mabepari kama marekani na uingereza??????

Tangu lini pakawa na biashara baina ya mwanadamu na mbu (mosquito) ambaye kazi ni kumnyemelea na
kufyonza damu yake???????

Iko wengi wakufanya biashara na na silazima awe ni hawa mabepari ambao economies
zao zinalegea legea na wakati wowote zinaelekea kuboromoka???????

Kama walifikiri wata impose leadership in Kenya kama vile walivyozoe kwingine duniani,,
ng'oooo,,,si Kenya,,,kwani Kenya ina wenyewe.

Kama walimpendelea huyu bwana Oginga,,kwanini wasitenge sehemu moja ya Marekani
ama uingereza na kumfanya rais huko??????

Kwanini watuuzie vifaa ghali vya kufanyia kura kisha kutushawishi ati ninani twafaa
kumchagua?????????

Hizo njama zao za kiutoto tumezikataa wazi wazi hapa Kenya na tafadhali wasitulee
tee.

Chaguo la walio wengi Kenya sharti lita heshimika na hakuna choice yeyote
ingine.

Kwanini wasianze kutangaza vikwazo walio tishia??????????

Hata ninashangaa ni vikwazo ngani wanaweza kutuwekea,,,,,kupiga
marufuku wana Jubelee kuto zuru Marekani na Uingereza?????

Mmmmmmmmmmm,,,,kwani hakuna mtu wakuwaeleza yakua Uingereza
na Marekani ati si binguni?????

Hata tukiwekewa marufuku ya kwenda mbinguni juu ya sababu tumemchagua
ambaye tulimpendelea kama kiongozi wetu,,,tutasema hata hiyo mbinguni
ikae.

Sisi si wajinga,,,tumekuja kugundua yakwamba hawa mabeberu hawawezi kuishi
bila sisi,,,in the third world na hasa Afrika.

Hebu tuone ni nani anaehitaji mwingine,,hebu wajaribu hiyo,,ati marufuku,,,
na tuone ninani atae kua na kicheko cha mwisho.

Kweli,,,heshima mbele,,,,afadhali nikae na njaa lakini heshima kwangu,,,,,,,
iko.

Mwafrika lazima achukue responsibility yake mikononi mwake,,na si
kuegemea kwa hawa mbu kwajina,,,, jina ati,,the west.

Mpaka lini tutakubali kuendelea kubakwa na hawa walowezi??????

Hatuhitaji misaada ya biscuits na sweets na manguo ya ma jeans yalio na uchafu,,,
hiyo,,,,,wapee wengine.

wel said odinga does not realise that it is God who denies him chance to rule kenya, mara tatu kashindwa ma mara zote hakubali, kwan vip? the most hated states in the world ni usa na uk why not german? n kwa sabab wanataka kutuchagulia viongozi.
 
Euro centric democracy ni tofauti kabisa na uhalisia wa kiafrika ndio maana maculturalist bado wanapinana na baadhi ya principal za international law.hapo ndio ujuwe kura zinaongea na zimetoa picha halisi ya mtizamo wa wakenya kuhusu yaliotokea baada ya uchaguzi ulioleta maafa na picha jinsi wazungu wanavyokosea kuwainciminate watu wasiohusika kwenye upelelezi wao kwa mtizamo wangu ICC cas against UHURUTO ime ABATE na kufa kifo cha mende Watabakia na madokument lakini hakuna mtu wa kukamata .kama ilivto kwa ALIBASHIRI vifyo hivo itakapokuwa kwa hao DIGITALLI waliowaangusha ANALOGIA
 
Kuna nchi nyingi sana zimesonga mbele bila bila msaada wa wamagharibi amka sasa tunaweza kusonga mbele wenyewe tukithubutu na mimi nina imani na wakenya,wamejaa uthubutu na kujiamini
 
"Tiba" ndo jamaa aliamua kuwa ajiri mungiki sio? Na huko ICC anatuhumiwa kwa kuwa alikuwa musa wa wakikuyu? Dah!

Nashindwa kuelewa kwani vyama hivi viwili (Jubilee and Cord) vyote ni vipya in terms ya uongozi Raila alikuwa na madaraka makubwa kwenye serikali iliyopita kuliko Uhuru sasa nani alikuwa na mashineri ya kuiba kura zaidi ya mwenzake? Nolimpenda Raila lakini ni wakato muafaka kukubali kuwa Wakenya wameongea na Ulimwengu mzima unapaswa kukubali na kuyaheshimu maamuzi ya wakenya
 
Euro centric democracy ni tofauti kabisa na uhalisia wa kiafrika ndio maana maculturalist bado wanapinana na baadhi ya principal za international law.hapo ndio ujuwe kura zinaongea na zimetoa picha halisi ya mtizamo wa wakenya kuhusu yaliotokea baada ya uchaguzi ulioleta maafa na picha jinsi wazungu wanavyokosea kuwainciminate watu wasiohusika kwenye upelelezi wao kwa mtizamo wangu ICC cas against UHURUTO ime ABATE na kufa kifo cha mende Watabakia na madokument lakini hakuna mtu wa kukamata .kama ilivto kwa ALIBASHIRI vifyo hivo itakapokuwa kwa hao DIGITALLI waliowaangusha ANALOGIA

ndio mana wanahangaika kumtumia odinga apinge matokeo. na kama odinga angepata uraisi haki nakwambia uhuru angefia uholanzi. ndio mana uhuru na ruto wamepigana kufa kupona ili wajiokoe na huyu odinga. but too late leo hii lolote likitokea uhuru asiwe raisa itatokea kosovo ya nguvu hamtoamini. na kibaki was right to ignore his pm and endorse other guys. because this man is eager to make sure he is the only political powehouse in Kenya. Museven amefurahi sana, kumbuka issue ya migingo odinga alikuwa forefront kutumia nguvu. na asipokuwa makin anaongeza hatred kutoka kwa wakikuyu na kuwafanya baadhi ya jaluo kutomwanini kabisa
 
... This is true IF U HAVE POOR & LOW IQ....!!!

Ur 100% wrong, almost (100 + 1)% wrong...!!

... Think deep, thinking is free...!!!

Heshima mbele,

Nimeshangazwa sana na maamuzi Wakenya waliyochukua, Naomba kuungana na jamii za kimataifa hususani Marekani ambayo tayari imetanabaisha kutoiunga mkono serikali ambayo Kenyatta atachukua nafasi kuiongoza.

Nawaza huyu bwana atainua vp uchumi,atafanya biashara na nani angali wamagharibi wameshaanza kumwekea ngumu.Sina uhakika asilimia mia moja kama haya maamuzi kweli yametoka mioyoni mwa Wakenya.

Hata kama siasa ya Kenya ni ya ukabila lakini ukabila gani unaoamini udhaifu wa mtu katika kupewa nafasi nzito kama hiyo?

Je ikitokea tuhuma zinazowakabili zikawafunga je nchi itaongozwa na nani?

Wakenya mtashangilia leo ila kazi mnayo,time will tell.
 
Ndugu yangu NZI, mimi sio mtu sahihi kutoa jibu la swali lako. Lakini kwa uelewa wangu mdogo, kesi iliyofunguliwa dhidi ya Uhuruna Ruto na wengine, ilikuwa ni kujaribu tu kutuliza munkari

Sasa kama sio mtu sahihi kujibu, mbona umejibu kwa uelewa wako? Katika post yako ya awali ulivyosema kwamba mataifa ya nje ndiyo yanatia presha kwenye kesi hiyo ulimaanisha nini? Sasa kwa jibu lako hapo juu unamaanisha mataifa hayo ndiyo yalitaka kutuliza munkari?

Chifu, husipende kusema vitu bila ya kuwa na uhakika navyo.

na wale wapenzi wa Uhuru na Kenyatta wanasema hiyo kesi ilipewa msukumo na Raila ili kuwaua wapinzani wake kisiasa.

Kuwaua wapinzani wake? Hivi unafahamu mashtaka ya Ruto ni kutokana na kupanga mauaji ya wapenzi wa chama cha Kibaki cha PNU? Sasa hapo Raila anaingiaje?
Uhuru yeye anashtakiwa kwa kupanga na kifadhili mauaji pale Naivasha na Nakuru. Anatuhumiwa kufadhili kikundi cha mauaji cha wakikuyu kiitwacho Mungiki. Na yeye alikiri alifanya hivyo kuwalinda watu wake pale serikali iliposhindwa kuhimili fujo za watu waliopangwa na Ruto.

Hapa napo unasema mambo ya kusimuliwa. Soma habari juu ya kesi hiyo chifu. Habari zake zipo sana hata kwenye mitandao. Soma uelewe undani wake na si kuongea kwa hisia na upenzi.

Wengine wanasema lile ombi la Kenya la kuendesha kesi za waliohusika yenyewe kama nchi badala ya kuzipelekaThe Hague lilihujumiwa na Raila huyo huyo.

Hapa napo unasema kwa hisia na upenzi wako kwa Uhuruto!!

Hivi unafahamu kwamba Ocampo alienda Kenya na kuwaomba sana hiyo kesi ifunguliwe Kenya? Aliwaomba sana huku akiwaambia kwamba kesi ikienda the Hague, hakuna kurudi nyuma. Itasikilizwa huko hadi mwisho wake!

Unajua ni akina nani walikataa mpango huo? Na kwanini walikataa? Mfumo wa mahakama kipindi hicho haukuwa huru na wa haki. Hivyo bunge likaazimia kesi zisikilizwe huko huko the Hague.

Huyu Raila hata baadhi ya Wajaluo wenzake hawamwamini hata kidogo, kwani he is too ambitious na yuko tayari kufanya lolote ilimradi atimize ndoto zake. Lakini ndoto ya Urais naona sasa imefikia kikomo.

Hapa napo unaongea kwa hisia na chuki dhidi ya Raila. Huyu jamaa amebadilisha sana siasa za Kenya. Bila harakati zake kupitia Chungwa, hata katiba mpya Kenya wasingekuwa nayo; ama wangekuwa na katiba mpya yenye kuendeleza mambo yale yale ya kale. Kwa hilo tu, hakika Raila na harakati zake amebadilisha sana siasa za Kenya.

Ningependa unipe ushahidi wa hao wajaluo ambao hawamwamini. Lakini naamini hao watakuwa wale wanaotaka kupendelewa na mjaluo mwenzao, kitu ambacho Raila siku zote amekuwa akikipinga, kwa kutaka kuondoa ukabila uliowajaa wakenya.
 
Ukitaka kujua wataalamu wa uchakachuzi, uliza.........................., wao wakishatua nchini, matokeo yote ni yanawezekana, uliza uchaguzi 2010, na subiri uone wa 2015. "Mtoto hatalala na pesa"
 
heshima zote kwa the hague. wale jamaa wakikuita kutoka mzima usitegemee maana wanakuwa na ushahidi mzito achana na bongo unakuta kuna mkono wa raisi na wengine! uhuru anadhani kuwa raisi ndo kwamba icc itakuachia kwasababu wakenya wanampenda! kweli kenya ukabila utawamaliza
 
Hayo ya ICC sijui ila kwa mtazamo wangu wakenya wakinyimwa misaada bila vikwazo vingine zaidi wanaweza kuishi na hata kupiga hatua kubwa zaidi ya maendeleo. Ila kama kunyimwa misaada kutaendana na vikwazo vya biashara na usafiri basi wana kazi kubwa mbele yao. Kwani hii itaathiri biashara yao ya nje na hata utalii ambavyo ni vyanzo vikubwa vya fedha kwa nchi. Tatizo la hizi nchi kubwa, hasa Marekani na nchi za Ulaya, ni kuwa wakisha kuwekea vikwazo wao wanahakikisha na vibaraka wao wote wanakuwekea vikwazo pia. Hivyo hata nchi za Afrika Mashariki zinaweza kujikuta zikilazimishwa kuwawekea vikwazo vya biashara wakenya. Tusubiri tuone kitakachotokea.

Tanzania kwa upande mwingine inaweza kunufaika na vikwazo kama kweli vitakuwepo kwani vitatoa fursa ya kuongeza pato la utalii kwani ongezeko la wageni watakuja huku badala ya Kenya. Kwa hiyo badala ya kushangaa shangaa inabidi tujipange ili kama ikitokea basi ule msemo wa kufa kufaana uendelee kuchukua nafasi yake.
 
Back
Top Bottom