X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #21
Mimi nawekeza nguvu zangu kujiamini Jua...Lina matokeo yanayoonekana...ila hii dhana ya mungu imegoma kabisa kuingia kwenye akili zanguBro Amini tu hata usipomkuta hutokuwa na hasara
Hata wewe pia umerudi mkuuWangapi wamerudi?. Thibitisha waliorudi
mungu yupi? Wapo wengi mno.Mimi nawekeza nguvu zangu kujiamini Jua...Lina matokeo yanayoonekana...ila hii dhana ya mungu imegoma kabisa kuingia kwenye akili zangu
Mizimu ipo iliwalinda Babu zetu...inatulinda na sisi pia...!Ikizidi 80 ni mateso tu. Ila Cha ajabu kwako Mungu hayupo. Ila Mizimu aka majini yapo. Hahahaaaaa. Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu.
Hahahahahaaa mkuu. Najua kwa asilimia mia unaamini Mungu yupo. Ila unapima watu wanapokea matango pori kwa kiwango ganiHata wewe pia umerudi mkuu
Mungu wanae muabudumungu yupi?
Nilikuwa naamini ila kwasasa siamini tena...Imani yangu ipo kwenye Mizimu yetu na Jua tu...!Hahahahahaaa mkuu. Najua kwa asilimia mia unaamini Mungu yupo. Ila unapima watu wanapokea matango pori kwa kiwango gani
Hiki ni kitabu...? Na huyo Nietzsche's kilimkuta kipi...?View attachment 3131909
Yupo wapi ndugu yako Nietzsche ?
Iliwalinda na nini?. Mizimu iliyokosa akili ya kuwapa mababu waunde magari ndege meli. Imewajaza ujinga tu. Ikasubiri hata barabara wafundishwe kujenga na walioamini Mungu yupo.Mizimu ipo iliwalinda Babu zetu...inatulinda na sisi pia...!
Sawa mkuu. Mizimu inapaisha watu na nyungo tu usiku. Wakawajambie waafrica wezao na kuwakaba usiku. Wakija wenye kuamini Mungu wanachukua tu dhahabu zetu wanapeleka kwao Mizimu inatizama tu.Nilikuwa naamini ila kwasasa siamini tena...Imani yangu ipo kwenye Mizimu yetu na Jua tu...!
Iliwalinda na nini?. Mizimu iliyokosa akili ya kuwapa mababu waunde magari ndege meli. Imewajaza ujinga tu. Ikasubiri hata barabara wafundishwe kujenga na walioamini Mungu yupo.
Unazungumzia uchawi mkuu...uchawi na Mizimu ni vitu viwili tofautiSawa mkuu. Mizimu inapaisha watu na nyungo tu usiku. Wakawajambie waafrica wezao na kuwakaba usiku. Wakija wenye kuamini Mungu wanachukua tu dhahabu zetu wanapeleka kwao Mizimu inatizama tu.
Hapo umefanya tu kubadili makazi kutoka kwa Fundi Mkuu kwenda kwa fundi mkuni (worthless master).Nilikuwa naamini ila kwasasa siamini tena...Imani yangu ipo kwenye Mizimu yetu na Jua tu...!
KazakhSasa kama dini it wasn't work wewe una uhakika unajua hata umeumbwa na nani?.
π³π³π³π³Hapo umefanya tu kubadili makazi kutoka kwa Fundi Mkuu kwenda kwa fundi mkuni (worthless master).
Shukrani sana asili ikulindeNimeishia kwenye salami tu nikaacha.
Nishajua kilichoanfikwa lazima utakua utumbo.
Hata hivyo nasikitika Ku comment kwenye utumbo ila sio mbaya maana comment yangu yenyewe utumbo pia π