Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

Jamani mimi naomba tu nielezwe
Kama Mungu ni mjuzi zaidi anajua kila kitu kwanini tunafundishwa kusali?

Kwanini Shetani amekosea kaletwa duniani bustanini EDEN alafu sisi tukikosea tunaenda motoni

Ibilis laanatullah kwa mujibu wa mafunzo ya uislam ameumbwa kwa moto sio
sasa siku ya mwisho atarudishwa motoni?
 
Kwani farasi hawapo? Punda hawapo. Na hiyo siyo kuwaunda tumewakuta wapo tu. Wao wametengeneza vitu ambavyo havikuwepo. Kama ndege treni magari meli pikpik na vingine vingi tu. We unafikli dar to mwanza na punda wako ungefika baada ya siku ngapi?. Mizimu inaangalia tu. Inawaachia wanaoamini Mungu yupo watengeneze
 
Mizimu ipo iliwalinda Babu zetu...inatulinda na sisi pia...!

kutambika mizimu, kufanya ibada, kutoa kafara kishirikina zote hizo ni njia za kufungua nguvu za asili (natural power)
ni maamuzi yako utumie njia gani

wale watenda maovu usione wanafanikiwa, wale tayari wamesha kubari kushirikiana na shetani na anawazidishia ili wazidi kuamini ktk uovu na kuzidi kuwa wafuasi nguvu nyeusi za asili
 
Bora tufanye matambiko tu...!
 
Halafu mizimu yao ikashindwa kuwaokoa? Ni lini tutajifunza kuwaona wanadamu kuwa ni walewale licha ya rangi na tofauti zingine kama hali, hadhi na jiografia?

Alichokuwa anaamini babu Hatt Mzungu ndicho kilekile alichokuwa akiamini babu Mwafrika Alkebulani, wakiwa katika upagani.
 
Mpumbavu husema moyoni mwake, hakuna Mungu.
 
Hoja yako ni kuwa kwa kuwa unapitia matatizo na mungu unamuomba mungu hakusaidii ndo una amua mungu yupo. Mfano baba yako akiwa anakufundisha kitu utaona anakutesa unaweza ukaomba kitu asikupe sababu sio hakupendi ila kuna vitu anajua ni vya muhimu kukupa kuliko ulivyoomba. Ukiwa unajifunza kutembea unaweza ukaanguka baba yako anawambia muache amke mwenyewe ili ajifunze pia mabaya na mazuri yanawatokea wengi tu kuna nchi wana mafuriko wengine vita tsunami
 
Ukiiwaza Dunia na kuangalia mienendo yake kwa umakini mkubwa na Kisha kutafakari.

Basi utagundua huyo Mungu kama anavyoelezwa na Vitabu vya dini hayupo na kama basi hana nguvu wanazomnasibisha.

Angalia mauaji hapo Sudan, Kongo, Ethiopia, Gaza na kule Ukraine(Ukirene).

Angalia shida wanazopata watu mbalimbali, wanaomba maombi hawajibiwi.

Magonjwa na Vita, mabalaa kama Vimbunga.

Hivyo Kuna asilimia zaidi ya 93% hakuna Mungu.
 
Kwa kweli ni hoja dhaifu kama ulivyohitimisha. Hongera sana kwa kutambua kwamba hoja zako ni dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…