Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,400
Reaction score
14,339
Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na matokeo...!
IMG-20241019-WA0021.jpg

Kwenye maisha yangu niliwahi kutekwa na Imani ya dini Fulani ambayo kupitia mafundisho ya dini hiyo Kila nilicho wahi kuomba hakikuwahi kufanikiwa...ndani ya dini hiyo hiyo niliwahi kushuhudia watu washenzi, wafitini, wafilaji, wasengenyaji, wanaotembea na wake za watu tena wakiwa ni viongozi wa dini wenye nyazifa na vyeo vikubwa.

Kwa utafiti wangu nilio ufanya nimegundua Dini na Mungu ni vitu ambavyo havipo. Kuna watu nawajua tokea nakua Hadi Leo maisha Yao ni Duni😭😭😭
IMG-20241021-WA0041.jpg

Kuna watu nawajua tokea nakua Wana furaha na Wana enjoy maisha ila nyuma ya pazia ni wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya ambao Wana tuharibia kizazi chetu...nguvu kazi inapotea...!

Huyu mungu ni mungu gani aso na huruma...?

Niliwahi kupata changamoto Fulani kipindi nakua... changamoto hiyo ilipelekea Mimi kutaka kujiua bad enough nilijaribu kujiua two times kwa njia tofauti tofauti ikashindikana...! Niliwahi kujinyonga and I was experienced near death experience 😭😭😭😭

Second time nilikunywa sumu it wasn't work...!

{Nitazungumza next time kwanini nilifikia hatua ya kutaka kujiua commit suicide}

Kuna watu kwenye hii Dunia wanapitia mambo magumu sana ambayo hayaelezeki. Majority tunao waona Wana furaha they fake the smile nyuma ya pazia wengi Wana majuto na vilio vya sirini...! Huyu mungu mungu gani alie tuleta hapa Duniani tuteseke😭😭😭

Ina maana furaha ya mungu ni kutuona sisi tunateseka...?

Ndugu zangu nilicho kigundua kwa utafiti wangu mdogo ni kuwa siri ya mafanikio ya Kila mmoja ipo kwenye tarehe yake ya kuzaliwa ndio maana hata Yesu waliiona nyota yake kabla hajazaliwa.

Mimi na wewe tunateseka kwasababu atupendi kuifuatilia asili ya kwetu tuna kazi ya kuabudu mizimu ya mababu wa kizungu na kiarabu...ila mizimu yetu tumeiacha...!

Leo hii mtu akijiita NGOSHA anaonekana mjinga na mlugaluga...ila Michael au John ndio wanaonekana wajanja na wanao enda na wakati...!

IMG-20241016-WA0030.jpg

Hivi kweli sisi waafrika tumezidiwa akili kiasi hicho...hakuna kitabu hata kimoja Cha dini kinachoonyesha kuwa Afrika pamewahi kuwa na Nabii...ila watu wazuri na manabii wote wanatoka kwenye nchi zao😭😭😭

Mababu zetu wazuri wameitwa Mizimu...Babu wa kiyahudi na kiarabu yeye sio mzimu ni mtakatifu...!

Walitutesa sana...tukawachapa sana kiasili rejeeni vita za MajiMaji...na nyinginezo zilizo piganwa kijadi amini nawaambia wakoloni tuliwachapa tukawagala gaza...wazee wetu walikuwa wanalindwa na Mizimu mikali...!

Hiyo iliwapelekea wakoloni kurudi nyuma na kujipanga upya...wakatutengenezea Mungu wao tukasahau Matambiko yetu na Mizimu yetu...!
IMG-20241021-WA0049.jpg

Kwa hoja zangu hizo dhaifu natangaza rasmi Mimi sio muumini wa dini yoyote Ile na siku nikifa mnizike KIMILA
 
Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na matokeo...!

Kwenye maisha yangu niliwahi kutekwa na Imani ya dini Fulani ambayo kupitia mafundisho ya dini hiyo Kila nilicho wahi kuomba hakikuwahi kufanikiwa...ndani ya dini hiyo hiyo niliwahi kushuhudia watu washenzi, wafitini, wafilaji, wasengenyaji, wanaotembea na wake za watu tena wakiwa ni viongozi wa dini wenye nyazifa na vyeo vikubwa.

Kwa utafiti wangu nilio ufanya nimegundua Dini na Mungu ni vitu ambavyo havipo. Kuna watu nawajua tokea nakua Hadi Leo maisha Yao ni Duni😭😭😭
View attachment 3131826
Kuna watu nawajua tokea nakua Wana furaha na Wana enjoy maisha ila nyuma ya pazia ni wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya ambao Wana tuharibia kizazi chetu...nguvu kazi inapotea...!

Huyu mungu ni mungu gani aso na huruma...?

Niliwahi kupata changamoto Fulani kipindi nakua... changamoto hiyo ilipelekea Mimi kutaka kujiua bad enough nilijaribu kujiua two times kwa njia tofauti tofauti ikashindikana...! Niliwahi kujinyonga and I was experienced near death experience 😭😭😭😭

Second time nilikunywa sumu it wasn't work...!

{Nitazungumza next time kwanini nilifikia hatua ya kutaka kujiua commit suicide}

Kuna watu kwenye hii Dunia wanapitia mambo magumu sana ambayo hayaelezeki. Majority tunao waona Wana furaha they fake the smile nyuma ya pazia wengi Wana majuto na vilio vya sirini...! Huyu mungu mungu gani alie tuleta hapa Duniani tuteseke😭😭😭

Ina maana furaha ya mungu ni kutuona sisi tunateseka...?

Ndugu zangu nilicho kigundua kwa utafiti wangu mdogo ni kuwa siri ya mafanikio ya Kila mmoja ipo kwenye tarehe yake ya kuzaliwa ndio maana hata Yesu waliiona nyota yake kabla hajazaliwa.

Mimi na wewe tunateseka kwasababu atupendi kuifuatilia asili ya kwetu tuna kazi ya kuabudu mizimu ya mababu wa kizungu na kiarabu...ila mizimu yetu tumeiacha...!

Leo hii mtu akijiita NGOSHA anaonekana mjinga na mlugaluga...ila Michael au John ndio wanaonekana wajanja na wanao enda na wakati...!

View attachment 3131822
Hivi kweli sisi waafrika tumezidiwa akili kiasi hicho...hakuna kitabu hata kimoja Cha dini kinachoonyesha kuwa Afrika pamewahi kuwa na Nabii...ila watu wazuri na manabii wote wanatoka kwenye nchi zao😭😭😭

Mababu zetu wazuri wameitwa Mizimu...Babu wa kiyahudi na kiarabu yeye sio mzimu ni mtakatifu...!

Walitutesa sana...tukawachapa sana kiasili rejeeni vita za MajiMaji...na nyinginezo zilizo piganwa kijadi amini nawaambia wakoloni tuliwachapa tukawagala gaza...wazee wetu walikuwa wanalindwa na Mizimu mikali...!

Hiyo iliwapelekea wakoloni kurudi nyuma na kujipanga upya...wakatutengenezea Mungu wao tukasahau Matambiko yetu na Mizimu yetu...!
View attachment 3131825
Kwa hoja zangu hizo dhaifu natangaza rasmi Mimi sio muumini wa dini yoyote Ile na siku nikifa mnizike KIMILA​
UTAJUA MWENYEWE...😂
 
Nakumbuka zamani nipo mdogo baba angu alinambia sheikh fulani ni wa kumwogopa sana coz anafuga majini na yanamsaidia kwenye kila kitu.

Nilikuja pigwa na butwaa nilipomkuta barabarani ananyeshewa na mvua chapachapa na akaniomba tushee mwamvuli wangu huku ananiuliza kama nimesikia ngurumo za radi.

NIKAYADHARAU MAJINI YAKE
 
Back
Top Bottom