The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ukweli ni kwamba tuna aina ya upinzani dhaifu sana katika nchi yetu, upinzani ambao huoni mwelekeo wake katika siku za hivi karibuni ama siku nyingi zijazo.
Jambo hili linaniumiza sana moyo wangu kama mtanzania mzalendo mpenda nchi, kwani naamini kwamba bila upinzani madhubuti ni nadra kufikia ubora.
Matukio yanayoendelea kwenye vyama vya upinzani Kwa sasa yanafuta matumaini kwamba Kuna wakati tutakuja kupata vyama imara vyenye maono ya kuongoza mapambano dhidi ya mifumo kandamizi iliyopo sasa.
Nikifikia kuwaza hivyo naanza kujaribiwa kuwa niwasifie na kuwaunga mkono ccm.
Hata hivyo nafsi inanisuta sana kutokana na mambo ambayo hadi leo ningeyatarajia chini ya uongozi madhubuti yangekuwa yameshafanyika, ila kutokana na ulegelege kukosa maono nk hayo mambo hayajafanyika.
Kwakweli nilitarajia kutokana na ardhi tuliyojaaliwa, hali ya hewa ya kuridhishi, mito, mabonde mazuri, maziwa, mabwawa, bahati, misitu nk. Tungekuwa tunalisha ukanda wote wa Africa mashariki na kati Kwa 100%.
Laiti kama ccm ingefanya kazi yake ya kuisimamia serikali sawa sawa na kuja na maono ya kuisukuma nchi kimaendeleo, hakuna bidhaa inayotoka kwenye kilimo ingeagizwa na hao jirani zetu kutoka sehemu nyingine ya dunia isipokuwa Tanzania.
Kwakweli nilitarajia kutokana na utulivu tulio nao na hizo zinazoitwa siasa safi, maliasili tulizo nazo, nchi yetu ingekuwa inaongoza kwa mbali sana miongoni mwa majirani zetu wa Africa mashariki na kati katika kupokea watali wengi Kila mwaka.
Kwa kweli nilitarajia kutokana na rasilimali watu tuliyo jaaliwa kama CCM ingefanya kazi yake ya kuisimamia serikali sawa sawa nchi yetu ingekuwa inaongoza kwa mbali sana katika kutoa vipaji vinavyo Tisha sana Kwa bara zima la Africa, lakini hali ni tofauti kabisa kwani katika Kila mchezo tunaoshiriki wachezaji wetu huenda kuwasindikiza majirani mwaka baada ya mwaka.
Tulitakiwa tuongoze
Kiuchumi.
Kielimu
Kimichezo
Kimiundombinu
Kisanaa
Kiteknolijia
Kibiashasha
Kwenye kilimo, uvuvi, ufugaji, madini, viwanda, utalii, na mengine mengi
Kusema kweli sisi kama nchi tuna Kila sababu ya kuwa super power ya Africa mashariki na kati Kwa kuanzia lakini pia super power ya Africa nzima katika Kila kitu.
Tatizo letu tuna chama legevu. Hapa ndipo nawaza naishiwa pozi kabisa.
Huwa nikimkuta mtu anaisifia CCM ananiudhi sana.