Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

Roseyree

Member
Joined
Oct 16, 2024
Posts
42
Reaction score
78
Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia.

-Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu
Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000.

Tuhamie kwenye tops au vishazi, guy unapata tops jumla kwa bei kuanzia elfu 1500 tu hadi 2000 tu imagine quality inazingatiwa karibu WhatsApp nitakuonesha mifano ya nguo, jamani hutojuta nguo ni nzuri njoo WhatsApp: 0625056158

Kama wewe ni mdada au mkaka una mtaji mdogo na hujui ufanye nini na una passion ya kuuza nguo karibu tufanye biashara.
 
Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia
-Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu
Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 ad 15000
Tuhamie kwenye toos au vishat guy unapata tops jumla kwa bei kuanzia elfu 1500 tu hadi 2000 tu imagine quality inazingatiwa karibu wasap nitakuonesha mifano ya nguo jaman hutojuta nguo ni nzuri njoo wasap 0625056158
Kama wewe ni mdada au mkaka una mtaji mdogo na hujui ufanye nini na una passion ya kuuza nguo karibu tufanye biashara
Hilo la dark blue zuri sana
 
Weka picha, size na bei.....
 
Tanzania tupo nyuma sana kwenye biashara za online ,unaweka tangazo hapa la kuuza biadhaa halafu halina picha ,mtu akitaka picha unamwambia akutext whatsapp ,seriously???
 
Weka picha bwana..mambonya watsap, haya sio kuchukua namba za watu mwisho muwateke kisa wanawakosoa.
Maana saa hii mnatuteka sana
Kama huna cha kuongea its bet
Weka picha bwana..mambonya watsap, haya sio kuchukua namba za watu mwisho muwateke kisa wanawakosoa.
Maana saa hii mnatuteka sana

kama huna point ukae kimya mambo ya kuteka mtu na wasap wap na wap we wa wapi wasap wanateka watu akishindwa kuzielewa nguo si anaacha wtf
 
Tanzania tupo nyuma sana kwenye biashara za online ,unaweka tangazo hapa la kuuza biadhaa halafu halina picha ,mtu akitaka picha unamwambia akutext whatsapp ,seriously???
Washenzi tu hao,....niliwahi kuwa na uhitaji wa laptop,..nikaingia kwa wanaojifanya wanauza online,...vituko vitupu,.....hajaweka crusial specifications na bei anakwambia PM,....shenzi type
 
Back
Top Bottom