Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Yan ni wajinga sana hawa watoto.Tanzania tupo nyuma sana kwenye biashara za online ,unaweka tangazo hapa la kuuza biadhaa halafu halina picha ,mtu akitaka picha unamwambia akutext whatsapp ,seriously???
Badala ya ku post picha anaanza kujib comments zingine halaf picha haweki.
Huyu nina was was ana biashara nyingine huyu akuvute inbox umtext akutumie picha za kipochi unyevu plas 50k round 1 kusini mabondeni 150k😂