shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Ni ujinga sana kuendekeza kuvaa nitumba. Pamba tunayo inakuwaje tuvae mitumba????? Nchi yetu imebarikiwa kila kitu unaenda kuleta nguo za marehemu na mamizimu ya wazungu shiti kabisa.Sad for you that huna mamlaka pole kama huvai ni wewe acha wengne waishi watakavyo lol 😂