Tanzania tupo nyuma sana kwenye biashara za online ,unaweka tangazo hapa la kuuza biadhaa halafu halina picha ,mtu akitaka picha unamwambia akutext whatsapp ,seriously???
Yan ni wajinga sana hawa watoto.
Badala ya ku post picha anaanza kujib comments zingine halaf picha haweki.
Huyu nina was was ana biashara nyingine huyu akuvute inbox umtext akutumie picha za kipochi unyevu plas 50k round 1 kusini mabondeni 150k😂
 
Tanzania tupo nyuma sana kwenye biashara za online ,unaweka tangazo hapa la kuuza biadhaa halafu halina picha ,mtu akitaka picha unamwambia akutext whatsapp ,seriously???
Huwa inakata stimu balaa, mtu anapost hata insta kitu unapendaaa, unauliza bei anakuambia njoo whatsapp 🤦🤦 nikijibiwa hivyo naendelea na mambo mengine.

Biashara ikishakua na njoo huku, njoo inbox inakera
 
Seriously we baki na biashara yako tu weka picha mtu akija Whatsapp jua biashara imeiva unadai vigaun vzr ntaamin vp km vzr ikiwa sioni chchte
 
Katika kumkosoa MTU tujitahidi kutumia "Constructive criticism" na sio "destructive criticism"

Maana mtoa mada sifikirii Kama Ana exposure ya kutosha kuhusu huu mtandao wa JF.

Hivyo yeye lengo lake halikuwa baya Sana Ila mkimwelekeza itakuwa vizuri na sio kumponda.

JF watu hupendelea kuweka privacy Sana .

Hivyo kumuelekeza mtoa post kuhusu digital marketing kuielewa , digital marketing itamsaidia zaidi .
 
Unauza nguo za marahemu???? Ni ujinga sana kununua mtumba. Ningekuwa na mamlaka ningepiga marufuku biashara ya nguo za marehemu
 
Unauza nguo za marahemu???? Ni ujinga sana kununua mtumba. Ningekuwa na mamlaka ningepiga marufuku biashara ya nguo za marehemu
Sad for you that huna mamlaka pole kama huvai ni wewe acha wengne waishi watakavyo lol 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…