shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Ni ujinga sana kuendekeza kuvaa nitumba. Pamba tunayo inakuwaje tuvae mitumba????? Nchi yetu imebarikiwa kila kitu unaenda kuleta nguo za marehemu na mamizimu ya wazungu shiti kabisa.Sad for you that huna mamlaka pole kama huvai ni wewe acha wengne waishi watakavyo lol π
CuteHello dear kwa wadada wanaopenda kupendeza au kama unataka fanya biashara ya nguo usisite kuniagiza mimi nauza vitu vizuri kuanzia tops, dresses na skirts bei poa jumla na reja reja karibuni
Tops bei ya jumla kuanzia 1500 hadi 2000
Skirt bei ya jumla kuanzia 2000 hadi 3000
Vigauni kuanzia 2500 hadi 4000 ( inategemea na aina za gauni )
Karibuni naweka picha hapo chini ya mifano baadhi ya tops tunazouza tunazingatia quality karibuniView attachment 3140902View attachment 3140904View attachment 3140905View attachment 3140906View attachment 3140908View attachment 3140913View attachment 3140915View attachment 3140916
Anatafuta namba zao.
Huwa inakata stimu balaa, mtu anapost hata insta kitu unapendaaa, unauliza bei anakuambia njoo whatsapp π€¦π€¦ nikijibiwa hivyo naendelea na mambo mengine.
Biashara ikishakua na njoo huku, njoo inbox inakera
Yan ni wajinga sana hawa watoto.
Badala ya ku post picha anaanza kujib comments zingine halaf picha haweki.
Huyu nina was was ana biashara nyingine huyu akuvute inbox umtext akutumie picha za kipochi unyevu plas 50k round 1 kusini mabondeni 150kπ
Hakuna shida endelea kuuzia whatsapp.Akija wasap ndo atatumiwa picha atachagua yeye anazionaje shida iko wapi hapo
Hello dear kwa wadada wanaopenda kupendeza au kama unataka fanya biashara ya nguo usisite kuniagiza mimi nauza vitu vizuri kuanzia tops, dresses na skirts bei poa jumla na reja reja karibuni
Tops bei ya jumla kuanzia 1500 hadi 2000
Skirt bei ya jumla kuanzia 2000 hadi 3000
Vigauni kuanzia 2500 hadi 4000 ( inategemea na aina za gauni )
Karibuni naweka picha hapo chini ya mifano baadhi ya tops tunazouza tunazingatia quality karibuniView attachment 3140902View attachment 3140904View attachment 3140905View attachment 3140906View attachment 3140908View attachment 3140913View attachment 3140915View attachment 3140916
Utafika mbali rafikiAsante dear