Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hahahhah paka kidogo haminiki mkuu😄😄 Daaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhah paka kidogo haminiki mkuu😄😄 Daaah
Haya maisha yanaweza kukuvuruga mpaka ukatamani umuuze hata mke wako
TravellerMasihara kando
Kwa level yangu ya maisha siwezi ishi na mnyama wa kufugwa. Gharama za madawa, chanjo na chakula siwezi kumudu.
Hata nikitoa elfu tatu nikalazimisha kuishi naye hapa kwenye chumba cha kupanga ni nitamtesa tu. Kuna siku nitaondoka sirudi hadi wiki moja ipite na hata nakua sijui kama huko ninapoenda nitaondokea huko huko.
ametulia tu baada ya breakfastMbona kama paka anaonekana ana mawazo mkuu?
Tutumie video zake akiwa anawakamata panya. Wadau wanataka paka wa kazikazi sio pamboametulia tu baada ya breakfast
Unaweza nitumia kesho?6,000/=
Ndio, nauli juu yako lakiniUnaweza nitumia kesho?
Utawapakia kwenye usafiri gani?Ndio, nauli juu yako lakini
Basi la mkoaUtawapakia kwenye usafiri gani?
Kweli njaa kali mjini!!! Hadi nyau anauzwa!!!....Nauza paka elfu tatu 3,000/= njoo umchukue
Location: Kigamboni
Piga: 0759448927
View attachment 2712656
Waliopo kwa Sasa Ni watatu 3Unao wangapi?? Nataka 15 nitakupa kila mmoja buku 2.
Anaupiga mwingi sanaKweli njaa kali mjini!!! Hadi nyau anauzwa!!!....
Msimu Huu mtauza hadi Nnyaa! Sio Nyau tu!!.....Dadadek!....
Si mama yenu anaupiga mwingi!?
Good for youHao wadudu siwapendi
AhahahahaAstaghafirullah
AhahahahaHahah 😃 huko mbali Sana mkuu