INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

Mkuu usiweke monitor juu ya laptop
 
Daaah kweli kiongozi nimekuelewa kwa muongozo wako. Nimeongeza pesa cash mpk 450000. Hii ss mpk nimekopa kujazia. Kama itakupendeza muda wwte nicheki. Tufanye bznes.
Asante
 
Picha ya humidifier kwa kribu pia elezea kidogo hali yake
 
Pole sana, Binafsi HUWA NAOGOPA SANA KUNUNUA KITU CHA MWENYE SHIDA.....

MUNGU AKUFANYIE WEPESI NDUGU TETU....

Wenye nia ya kununua NUNUENI KWA KUMSAIDIA NAISIWE SABABU YA KUMKANDAMIZA...
 
Pole sana, Binafsi HUWA NAOGOPA SANA KUNUNUA KITU CHA MWENYE SHIDA.....

MUNGU AKUFANYIE WEPESI NDUGU TETU....

Wenye nia ya kununua NUNUENI KWA KUMSAIDIA NAISIWE SABABU YA KUMKANDAMIZA...
Asante Boss kwa polee yako,
Ilaa khofu yako ya kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi Uoni kwamba ndio unakosea? Maana poleee pekee haiwezi tatua changamoto zilizopo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…