INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

Wakuu items zote hizo hapo...target ni kuraise a quick 1.5m kwa ajili ya matibabu ya someone so dearly to me.
Core i3 desktop ( nimetoa harddisk).

Two monitors 17' and 19'
4 tall boy speaker za LG
Humidifier mpya kabisa
Hp intel core i5 generation ya 7 very clean like new.

Amazon kindle reader with full ebooks (zipo mbili ya mtoto na mkubwa).

Samsung Tab 10.1' with total storage of 80GB ( ndio nayoitumia hivyo siwezi pata picha).

Kitanda cha chuma double decker 5×6 & 3 x6
Foldable aluminium square tent 100sqft.

Napatikana Ubungo DSM
0713498825

View attachment 2439319View attachment 2439320

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiweke monitor juu ya laptop
 
Asante Boss offer nzuri,lakini siwezi fikia lengo la kuuza hizi items...hii pc ni intel processor core i5 7th Generation sio 4th Generation....niko tayari kuiiupgrade kwa ssd ya 32GB ili nipate not less than 500k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Note:Gharama za kuupgrade kwa mafundi ni juu ya mteja mimi natoa offer ya ssd ambayo itabidi fundi aitoe ktk min laptop nayotumia na kupunguza RAM from 8GB to 4GB kisha anakuwekea 32GB ssd.
Daaah kweli kiongozi nimekuelewa kwa muongozo wako. Nimeongeza pesa cash mpk 450000. Hii ss mpk nimekopa kujazia. Kama itakupendeza muda wwte nicheki. Tufanye bznes.
Asante
 
Picha ya humidifier kwa kribu pia elezea kidogo hali yake
 
Wakuu Habari nauza hizi items zangu kwa dharula,nauhitaji mkubwa wa pesa kwa ajiri ya kugharamia matibabu.
LAPTOP HP
INTEL CORE i5 7th Gen
Os. Windows 10pro (activated)
Hdd 500GB
Ram 8GB
Display 15'6
Battery runtime 4hrs
Clean as new
inahitaji 520k only.

KITANDA CHA CHUMA DOUBLE DECKER KUTOKA UTURUKI
Futi 4×6 juuu
Futi 5 x 6 chini
Kina ngazi yake.
Kimenunuliwa ORCA Deco miaka mitatu iliyopita kwa gharama ya 550k ( hiki nadhani risiti ipo) kimekaa store zaidi ya mwaka bila kutumika..kinafaa sana kwa familia kubwa yenye vyumba vichache vya kulala
Nahitaji 230k ( kitarudishiwa rangi kwa mteja side bays imeshambuliwa na kutu)
Sikupata muda wa kupiga picha mapema zitatumwa kwa muhitaji


ALUMINIUM FOLDABLE TENT ( 10ft kwa 10ft)
Hili linafaa sana kwa mikutano ya njee,kwenye mashule,hospital au NgO's kwa ajiri ya kupokelea wageni,kufanyia registration n.k...Limeishii store kwa muda mrefu haina top cover
Linahitaji 450k.
Napatikana Dsm-Ubungo
0713498825View attachment 2438882View attachment 2438884View attachment 2438885View attachment 2438914

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, Binafsi HUWA NAOGOPA SANA KUNUNUA KITU CHA MWENYE SHIDA.....

MUNGU AKUFANYIE WEPESI NDUGU TETU....

Wenye nia ya kununua NUNUENI KWA KUMSAIDIA NAISIWE SABABU YA KUMKANDAMIZA...
 
Pole sana, Binafsi HUWA NAOGOPA SANA KUNUNUA KITU CHA MWENYE SHIDA.....

MUNGU AKUFANYIE WEPESI NDUGU TETU....

Wenye nia ya kununua NUNUENI KWA KUMSAIDIA NAISIWE SABABU YA KUMKANDAMIZA...
Asante Boss kwa polee yako,
Ilaa khofu yako ya kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi Uoni kwamba ndio unakosea? Maana poleee pekee haiwezi tatua changamoto zilizopo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom