INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

Bima kutoka jubilee, unakata na unapata matibabu yako yote hata kama itabidi kupewa referral itakucover pia, kama unahitaji nipm namba yako nikupigie kwa maelezo zaidi, nilishaelezea kwenye post za nyuma huko jinsi inavyotumika
 
Bima kutoka jubilee, unakata na unapata matibabu yako yote hata kama itabidi kupewa referral itakucover pia, kama unahitaji nipm namba yako nikupigie kwa maelezo zaidi, nilishaelezea kwenye post za nyuma huko jinsi inavotumika
Asaantee Boss, Bimaa ya Jubileee naifahamu vizuri...na issue kubwaa hapa nayoipambania ni pesa ili kuweza kugharamia hizo gharama maana najua siwezi pata soft loans hapo jubilee kwa ajili ya matibabu haya yaliyo mbele yangu ndio maana naraise funds kwa njiaa hii kiongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loan inawezekana kiongozi, wapi ulikwama
 
Wakuu bado napambania kufikia lengo kabla ya tarehe 20 mwezi huuu...Nauza hii
Rm monitor full hd 21' inatumia Dvi port hivyo kama una pc inayotumia only VGA port hii haikufai labda uwe na converter ( dvi to vga converter)
Bei 150k
Ubungo -Dsm
0713498825

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah kweli kiongozi nimekuelewa kwa muongozo wako. Nimeongeza pesa cash mpk 450000.Hii ss mpk nimekopa kujazia. Kama itakupendeza mda wwte nicheki. Tufanye bznes.
Asante
Ongezeko ilo kwa laptop [emoji335]. Itakupendeza. Kama ndio nicheki tumalize bznes. Asante
 
Njoo nikupatie bima ya uhakika ili ujitibu vizuri.
Nimekufata mkuu kwenye bima yako ya uhakika uliyoniitia kwa mbwembwe zote unaishia kuniambiaa inaanza kuwa active baada ya mwaka mmoja.....Nimejikuta nimeshindwa kuvumilia aisee ili member wengine wenye changamoto wasikukimbilie wakidhani kuna unafuu wowote kama unavyojinasibu kwenye posti yako hapo.
 
Wakuu hii HP intel core i5 7th Gen with 8GB of Ram bado ipo
Battery 4hrs
Hdd 500GB
Graphics display ni intel hd 620
With 4Gb of Memory ( inaweza tumika for engineering software kama archcad na autocard or kwa ajiri ya games kubwa kubwa ambazo ni full graphics)
Top nahitaji 500k only.
Napatikana ubungo- Dsm
0713498825
 
Aluminium foldable tent bado jipya kabisa,ukubwaa ni 100sqft
Linaweza tumika kwenye outdoors screening,meetings,registration or camping.
Pia linaweza tumika kwenye mikutano ya jumuia zetu za mitaani kipindi cha mvua.
Ndugu zangu Bei ya dharula ni 400k
 
Wakuu bado napambana nakimbiliaa deadline...
Naomba mdau anayehitajii Dish kubwa la Free to Air pamoja na receiver zake mbili na LNB mbili
Nahitaji laki mbili 200k only
Ukiona vinakufaa tafadhalii njoo uchukue
Nb: ( iwapo kuna house hold items yoyote utakuwa na uhitaji nayo tafadhalii niulizee kwa dharula niliyonayo chochote ambacho kitahitajika na ninacho nitakuuzia
Nicheki kwenye pm.
Au mawasiliano 0713498825

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hii Amazon Kindle reader ni zawadi nzuri sana kwa kijana wako...badala ya kumnunuliaa simu unaweza mnunuliaa hii kindle reader na kumfanya apende kutafuta maarifa kupitia vitabu...inatumia wifi na os inayotumia ni experimental os ya amazon
Pia inakuwezesha kununua vitabu direct from Amazon
Bei ni Tsh 200k only


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…