INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

Ni humidifier au dehumidifier maana zina tofauti?
 
Hii free, unapata chanel zipi? Mfano DStv zote?
 
Hii free,unapata chanel zipi?mfano dstv zote?
Boss sina maelekezo mengi kwenye hilii ..ila kwa ufupi kama mtumiajii tu wa kawaida na sio fundi..fta sattellite dish kazi yake ni kunasa free subscription channels..hivyo fundi anajuaa je ni sattelite ipi yenye free channels nyingi hivyo atakufungia dish lako katika uelekeo wa hiyo sattellite ....hivyo kama Dstv nao watakuwa na free subscription channels katika hiyo sattelite basi utazipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda nhif zinaanzia 192,000 Kwa mwaka
 
Habari ndugu zangu wa Jamii forums, bado nipo kwenu...muda wa jitihada zangu za kupambania maisha ya mpendwa wangu unanikimbiaa
Bado sijaweza fikia lengo la hitajio
Package hii hapa nahitaji 1m
Samsung Tab 10.1' with 80GB of storage,inatumia line moja
Amazon kindle reader with more than 100books inatumia wifi
Hp laptop intel core i5 7Gen woth 8Gb Ram and 500GB hdd
Juu ya hii nitatoaa offer ya smile Franklin wireless router bure kabisa.
 
Vyote hivi nilivinunua kwa matumizi yangu binafsi...lakini umiliki wa vitu hivi kwa sasa hauna umuhimu kwangu kulinganisha na swala nalopigania
Hii Samsung Tab nitakupatia na flip cover yake mpya kabisa na nakupa na accesories zake kasoro earphone zimekatika
Whole package plus Franklin Wireless router
Only 1m.
 
Hiyo. HP laptop kama ikifika before 24 th dec. Ntainunua maana nakusanya haps kidogi kidogo
 
Wakuuu naiuza na hii Printer
Samsung Laser Jet Printer
Model ML 2885ND Nimeitumiaa kwa kiasi kidogo sana na niliinunua mpya kabisa kutoka Masumin Printways kwa 440k
Nahitaji 300k only.
 
Wakuuu Aluminium foldable Tents imetumika kwa kiasi kidogo sana bado ipo
Naitoaa kwa 400k only.
Wakuuu nunueni hizi bidhaaa Mungu atawabariki sana ndugu zangu.
 

Attachments

  • 20221209_125138.jpg
    113.6 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…