Ninauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa Pietrain Hybrids Bei Tshs. 100,000/= - Tshs. 200,000/= tu Kutokana na Umri au Aina ya Mbegu.
Tuwasiliane +255738141339
Mimi ni Perserverant Pig Breeder.
Shamba lipo Dar es salaam Bunju B. Mabwe Pande, Sehemu Inaitwa Manzese
. . .
Watoto wa Nguruwe wa Mwezi Mmoja au Mwezi Mmoja plus Wapo.
Bei Tshs. 100,000/= - Tshs. 200,000/= . . .
Kama kuna Dealer au Dealers wa kununua Watoto wa Nguruwe wa Umri wa Mwezi mmoja au Mwezi Mmoja Plus na Kwenda kunenepesha?
Wawasiliane na mimi niwazalishie watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu wa Mwezi Mmoja tu au Mwezi Mmoja Plus
Hii ndio fani yangu. Kufuga, Kuzalisha na Kuuza Hybrids za Nguruwe wa Kisasa wa Aina Mbali Mbali kwa Bei Nafuu kuliko ya kununua mtoto wa Nguruwe wa Miezi mitatu. Aliokwisha kutunzwa.
Hapa sikosoi ideology ya mtu mwingine yoyote. Ila faida yake ni kwamba mteja atajipatia wa kwake wa Mwezi Mmoja tu au Mwezi Mmoja Plus akamfuge yeye mwenyewe.
kwa kumpa
1. CREEP Feed ya Novatec na kisha
2. Growers na
3. Finisher au
4. Lactating Feed.
NB: Utakuwa ukiichanganya Concentrate hii na Pumba ya Mahindi tu au na Vitamins additional ukipenda
Na
NB: HAKIKISHA kuzingatia usafi wa Wanyama wako na Mabanda pamoja na kuwapa Dawa za Minyoo kila Mwezi.
NB: Pia kuzingatia kuwapatia maji safi ya kunywa - kila wakati yawepo yanapatikana.
FAIDA: Miezi mi 3,4/5 tu Utaweza Kuchinja Nguruwe I.e / Mfano Madume, na Miezi sita tu utaweza Kupandisha Majike ili wakiwa na Miezi tisa tu wanazaa
FAIDA: Unaweza ukawanunua wakiwa na Mwezi Mmoja au Mwezi Mmoja Plus kwa Tshs. 100,000 - 200,000/= Ila wewe ukaja Kuwauza kuanzia wakiwa na Miezi mitatu kwa as Low as Tshs. 160,000/= - 800,000/= au Greater Than Tshs 1,000,000/= inategemea Ana Miezi mi ngapi na unamuuza kwa sababu gani. I.e. / Mfano Unamuuza kwa kumchinja kama Nyama au Unamuuza kama Nguruwe wa Mbegu kwa mfugaji mwingine wa Nguruwe. I.e Majike au Madume ya Mbegu .
Dume Huanza Kupanda akiwa na Miezi Saba tu.
Fuga Kijanja. Kuwa Dealer mapema inalipa. Ni Fursa. Maana Breeder anazalisha wewe unaenda kunenepesha. Changamkia Fursa hii.
Hata Mkataba Tunaweza kuingia watoto wanaozaliwa wa idadi ya kwanza unayotaka Ninakuzalishia after 30 days unawachukua .
If you have any questions
Kwa Mawasiliano na Serious Inquiries Only +255738141339
Text, Call or Whatsapp
#nyamayanguruwe
#nguruwe
#nguruwetanzania
#nguruwebiashara
#ufugaji
#ufugajiwanguruwe
#pig
#pigs
#pork
#swine
#Daressalaam
#bongo
#offer
#mifugo
#kitimoto
#piglet
#piglets