Roho Mbaya Utafundishwa na watu uliowafanyia Wema - Waswahili.
Hatimaye Tarehe 9 August 2022 ilifika na tayari imeshapita.
Jipatie Dume la Mbegu Hapa
Wapo Madume Wanne Tayari kwa kuuzwa
Karibu.
Watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu wa Bei Nafuu
Wamezaliwa Tarehe 9 july 2022
Watauzwa Tarehe 9 August 2022
Baba yao ni Pietrain 100%
Mama yao ni Duroc Hybrid.
Bei ya kila mtoto mmoja ni Tshs 200,000/= tu
Wametunzwa Vizuri Sana. Wana Afya ya Kutosha
Madume ya Mbegu
Njoo uone, ujithibitishie Ubora, Mbegu kisha Uamue Kabla ya Kununua.
Bei hizi ni Nafuu Mno. Na Hakuna Mpinzani.
I am Tanzania's Most Perseverant Pig Breeder
Ukiweza ninacho fanya hembu fanya tuone.
Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania
TENDA WEMA UENDE ZAKO
.....
watoto wa Tarehe 9 July 2022 - Tarehe 9 August 2022
Hivyo, Jipatie sasa Dume la Nguruwe la Mbegu kwa bei nafuu mno.
Majike Kwa Sasa Siuzi.
Kuhusu Majike Nitawataarifu niki Resume Sale za Majike ya Nguruwe ya Mbegu, huko Baadaye.
About me:
I am a Young Pig Breeder
Ninauza watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu wa Bei Nafuu. Wa umri wa mwezi mmoja tu au mwezi mmoja na week kadhaa tu.
Siuzi Nguruwe wakubwa.
Siuzi Nyama ya Nguruwe.
Sinenepeshi Nguruwe.
Jike akizaa mara tatu Namchinja.
Dume akiwa na Umri wa Mwaka na Nusu namuuza. Akikosa mteja namchinja.
Nyama zote nakula Siuzi.
Ukiweza ninacho fanya hembu fanya tuone.
Tanzania's Most Perseverant Pig Breeder.
Tel : +255738141339 Text, Call or Whatsapp
+255716576827
Dar-Es-Salaam, Bunju B, Mabwe Pande.
Ushauri Wangu kwa Mfugaji yoyote yule wa Nguruwe. Au mtu anayependa kufuga Nguruwe
Anza sasa Mradi wako wa Ufugaji wa Nguruwe kwa kujipatia watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu wa Bei Nafuu kutoka kwangu
Nimeangalia haja ya wafugaji wengi wa Nguruwe na wanaotamani sana kuanza kufuga Nguruwe, na kuchukua fursa hii kujitoa na kuamua kuwa mzalishaji na Muuzaji wa watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu wa Bei Nafuu. Wa umri wa mwezi mmoja tu au mwezi mmoja na week kadhaa tu.
Fursa kwenye ufugaji wa Nguruwe bado ipo wazi ya wewe kuwa Dealer wa kuwa unanunua watoto wa Nguruwe wa kisasa wa mbegu wa mwezi mmoja kutoka kwangu na kwenda kuwafuga, kuwakuza, kuwanenepesha ili uwauze huko baadaye, au uamue kuwafuga na kuwa na mradi wako mkubwa wa kuzalisha Nguruwe wa mbegu, au uamue kuwachinja huko baadaye wakikuwa na kuuza nyama
Mimi ni kama Daraja tu. Karibu uvuke. Uwe unachotaka.
Faida ya kununua watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu wa Bei Nafuu kutoka kwangu.
1. Bei Nafuu Mno
2. Mbegu bora
Huwa natumia
- Dume la Pietrain 100%
- Dume la Duroc 93.75%
- Dume la Duroc 87.5%.
Na Majike ya
Au Majike ya
- Baba Duroc 87.5% na Mama Duroc 75%
Au Majike ya
- Pietrain Hybrid
Au Majike ya
- Largewhite
- Largewhite x Landrace
Au Majike ya
- Saddleback
3. Uaminifu, Ukweli na Uwazi
- Utapewa taarifa Sahihi kuhusu Mbegu hiyo ya Watoto wa Nguruwe wa Kisasa iliyo tayari kwa kuuzwa (Wazazi wake)
- Utachagua mnyama unaye mpenda.
- Utapokea mnyama uliye mchagua
4. Utapata Box la kuwabebea Wanyama wako (watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu) BURE kwa idadi yoyote ile ya Watoto utakao wanunua.
5. Usafiri kwa Dar es Salaam na Pwani upo kwa Gharama za mteja. Iwe kwa pikipiki au kwa gari. Kwa mikoani usafiri ni juu ya mteja (Mteja atafute usafiri wake wa kuja mkoa aliopo)
6. Uhakika wa Kupata watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu wa Bei Nafuu Mwaka Mzima, kila Mwezi.
7. Huduma kwa Wateja.
- Mteja Utapata nafasi ya kusikilizwa.
- Utapata ushauri zaidi kuhusu jambo lolote lile utakalouliza kuhusu ufugaji wa Nguruwe.
- Mteja Serious atapewa huduma Nzuri
+255738141339
+255716576827
Dar-Es-Salaam, Bunju B, Mabwe Pande
Njoo shamba Watoto wa Nguruwe wapo tayari kuuzwa
Wapo Madume Wanne Tayari kwa kuuzwa
Karibu.
Bei ni Tshs 200,000/= kwa mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu.