Navukaje hapa wakuu

mara hii wewe na kizibo mwenzio mshaanza kutegana, hivyo mmeshasahau ya ile clip ya 'afande' na bado issue ya moto inachemka..??
Mbona ninyi ni wasahaulifu hivyo..??
 
Hawa mabinti huko walipo wanatumwa kwenda kulala na waume za watu na washike mimba ili wakomboe familia zao duni kupitia huyo mtoto mtakaepata pamoja. Kama unataka kuwa mkombozi wao pita nae, kama hautaki hiko kikombe mkwepe kama ana ukoma vumilia mke wako arudi. Na pia mwambie mke wako mitego yote anayokufanyia huyo housegirl.
 
Acha ufala, unataka kuharibu mdoa kwa ujinga usio ma faida.
Mkemee mtoto kama pepo hatarudia.
Acha udhaifu huu hata akiifunua yema mate pita hivi
 
Tandika huyo kata fimbo tandika hadi akikuona anaju a hutaki umalaya jata fumbo nyembamba nzuri mchape sana nauongee na mama yake kuhusu hilo ni bora uwe va mchepuko kuliko huvi viwavi vya shetani vinagaribugi ndoa zawatu vimeweka vidawa ndani ya uke ukikila tu ndio kila siku nimazoea. Viepuke kama ukoma.


Unaonekana wewe ni mtu mzima sana 45 to 55
 
Tobo hizo tobo hizo utashangaa tu mara pa zimempatia cheo kawa kiongozi kwa kutumia tobo mbili za chini .....kisha analeta kiburi na kukuambieni yeye ni chura kiziwi....
 
Inaonekana amefanya majukum ya mke
Vip mke wako alikuwa anajaribu kukujali kama huyo mdada?

Nina mashaka ameshaona udhaifu wa mke wako na kama mke wako alikuwa hakujali basi lazima uingie mkenge
Nachoshauri huyo mtoto afukuzwe maana ukikataa ataenda kuchoma kwa wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…