Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,921
Reaction score
19,772
Hello guys,
Yaani leo acha niwape maua yao watu wenye sauti nzito, hawa watu ni special, wananifurahisha wakiongea, sichoki kuwasikiliza, imagine mtu mwenye sauti nzito akiongea akiwa ametoka kuamka au anataka kulala ile ana usingizi usingizi au awe anakwambia kitu sensitive sauti inavyotoka,🙌🏻

Napagawa zaidi kama sauti hiyo ni ya mwanamke, yaan wanawake wenye sauti nzito mna nafasi ya pekee katika kamoyo kangu,
katika moja ya vitu vilivyonifanya nimuhusudu partner wangu ile deep voice yake, enzi ya penzi jipya nilikua naloa sana nikiongea nae usiku🤭
Lakini kuna wanawake wengine kama Charlize Theron, Cate Blanchett, Toni Braxton, Beyonce Knowles wana sauti nzuri sana, nzito zenye mamlaka,

Kwa wanaume kuna Sylvester Stalone babu anazeeka na utamu wake wa sauti, hua sichoki kumsikiliza akiongea, Don Williams alitisha sana na Base lake lakini pia kuna Chidi Benz mtoto wa Ilala ana sauti nzuri sana bila kumsahau Millard Ayo,

Kama kuna MWANAMKE humu ana sauti nzito anicheki nimpe zawadi yake jamani, you guys are amazing mnanichafulia sana thongs zangu🤗😋
 
Nakupenda sana bidada Kama rafiki uko very straight no corner corner namna unavyofanya au kueleza vitu kwa uwazi Huna u Swahili but nakushauri kwa Nia njema na nyoofu kutoka ndani ya moyo wangu tabia ya kulala na wanawake wenzako acha mara moja unatapata laana si kila Jambo nilakuiga au kurunauhusu kwenye nafsi yako acha yakupite, kataa hiyo roho chafu iliyoko ndani yako wanaume wamewekwa kwasababu ya wanawake bado una nafasi yakubadilika.
 
Hii kitaalam inaitwa "NIMETOA YA MOYONI" 🤣
 
We jinsia gani kwanza

Mbona Kama Kuna kitu hakipo

Tufanye wewe ni mwanamke unaopenda wanaume wenye sauti nzito it's okay

Hapo hapo unapenda mwanamke mwenye sauti nzito

Sasa mwanamke na sauti nzito wapi na wapi au unaongelea tomboy na unampendaje mwanamke mwenzio

Na Kama ni mwanaume unapenda mwanaume mwenye sauti nzito huoni kama Hilo ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…