Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

Najitolea kukuchangia hili
1716975973.jpeg
 
Hello guys,
Yaani leo acha niwape maua yao watu wenye sauti nzito, hawa watu ni special, wananifurahisha wakiongea, sichoki kuwasikiliza, imagine mtu mwenye sauti nzito akiongea akiwa ametoka kuamka au anataka kulala ile ana usingizi usingizi au awe anakwambia kitu sensitive sauti inavyotoka,🙌🏻

Napagawa zaidi kama sauti hiyo ni ya mwanamke, yaan wanawake wenye sauti nzito mna nafasi ya pekee katika kamoyo kangu,
katika moja ya vitu vilivyonifanya nimuhusudu partner wangu ile deep voice yake, enzi ya penzi jipya nilikua naloa sana nikiongea nae usiku🤭
Lakini kuna wanawake wengine kama Charlize Theron, Cate Blanchett, Toni Braxton, Beyonce Knowles wana sauti nzuri sana, nzito zenye mamlaka,

Kwa wanaume kuna Sylvester Stalone babu anazeeka na utamu wake wa sauti, hua sichoki kumsikiliza akiongea, Don Williams alitisha sana na Base lake lakini pia kuna Chidi Benz mtoto wa Ilala ana sauti nzuri sana bila kumsahau Millard Ayo,

Kama kuna MWANAMKE humu ana sauti nzito anicheki nimpe zawadi yake jamani, you guys are amazing mnanichafulia sana thongs zangu🤗😋
maxresdefault-1464169354.jpg
 
Back
Top Bottom