Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

Umeitika kwa heshima hadi raha lazima una sauti nyororo na umefundwa ukafundika🤗
😂😂😂😂

Kwa kweli, afu ujue nn, tukikaa kuongea na Mr Wangu, ni km vile Burna Boy na Sam Smith ndani ya song "My Oasis".

Sauti za Bass wote peponiiiii!!
 
Sauti nzito bila pesa ni kama vile beberu ananguruma😀😀😀. Haina msisimko banaaa
Demi Wewe Tena na Pesa ni vile ujapata kidume wa kukusugua vizuri Kuna wanawake wanapata hiyo Raha alafu wamekaa kimya bila makelele wanamsemo wao kizuri kula pekee yako
 
😂😂😂😂

Kwa kweli, afu ujue nn, tukikaa kuongea na Mr Wangu, ni km vile Burna Boy na Sam Smith ndani ya song "My Oasis".

Sauti za Bass wote peponiiiii!!
Aww My Oasis ni wimbo wangu pendwa wa muda wote yaan Coca kama una sauti ya Sam unitafute nikupe zawadi yako, Sam anaimba nyie, na siku hizi umemuona alivyozidi kua mrembo anajiachia mwenyewe
 
Mmeshatoka kwenye wavuta banging, Wanyanyua vyuma, Handsome, mmeamia kwenye Sauti.
Mmtawaua wadogo zetu.
By the way hizi ni kama fashion tu, nayo itapita
 
Hakuna anayetegemea kupata hela hovyo hovyo, kama ambavyo nyuchi haitolewi hovyo. Utakapo hitaji gharamia, hiyo ndo formula
Basi mtu anatapata tabu sana kukudinya Kama hisia Zinaendana na hela
 
Back
Top Bottom