Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

Hiyo jtano tutashinda tunaloweshana mi kuandamana nilishatangaza wanitoemo,, siwezi kuacha watoto wazuri kama Dr. Mariposa wateseke namna hii
Kweli kabisa dear, warembo wenzio tunakuhitaji yanini utolewe ngeu uharibiwe sura, tujifungie zetu sehemu 😋🤗
 
Thongs!!!!!😋😋😋😋 😋

Ningekukaribisha siku usikie besi lakini shida unataka vibesi vya wanawake wenzio 😂😂😂
Nyie dunia hii, nachoka kabisa mimi 😂😂
Thong lainiiiii ya nyavu nyavu,
Nyieeeeeee🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom