Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
- #21
Ana sauti nzito?Huyu mboni ni Binti wa zamani
Ana sauti nzito?Huyu mboni ni Binti wa zamani
Wanawake wenye deep voice wapo nimekuekea baadhi fatilia sauti zao,We jinsia gani kwanza
Mbona Kama Kuna kitu hakipo
Tufanye wewe ni mwanamke unaopenda wanaume wenye sauti nzito it's okay
Hapo hapo unapenda mwanamke mwenye sauti nzito
Sasa mwanamke na sauti nzito wapi na wapi au unaongelea tomboy na unampendaje mwanamke mwenzio
Na Kama ni mwanaume unapenda mwanaume mwenye sauti nzito huoni kama Hilo ni tatizo
🚮🚮🚮Napagawa zaidi kama sauti hiyo ni ya mwanamke, yaan wanawake wenye sauti nzito mna nafasi ya pekee katika kamoyo kangu,
katika moja ya vitu vilivyonifanya nimuhusudu partner wangu ile deep voice yake, enzi ya penzi jipya nilikua naloa sana nikiongea nae usiku🤭
Lakini kuna wanawake wengine kama Charlize Theron, Cate Blanchett, Toni Braxton, Beyonce Knowles wana sauti nzuri sana, nzito zenye mamlaka,
Pyeeeeeee kisauti kama kinanda cha watoto🤣
How come uwe attracted na mwanamke mwenzako hadi uloe???Pyeeeeeee kisauti kama kinanda cha watoto🤣
Mmh hii Kali aiseeNi lesbian huyo Dunia inaangamia
Vipi sister ni kweli UNAPIGA ZEZE!? 😟Hii kitaalam inaitwa "NIMETOA YA MOYONI" 🤣
Ulipomtaja Millard Ayo nikashusha pumzi angalau namimi nina sauti nzito. Unanitaka?😆😆😆Hello guys,
Yaani leo acha niwape maua yao watu wenye sauti nzito, hawa watu ni special, wananifurahisha wakiongea, sichoki kuwasikiliza, imagine mtu mwenye sauti nzito akiongea akiwa ametoka kuamka au anataka kulala ile ana usingizi usingizi au awe anakwambia kitu sensitive sauti inavyotoka,🙌🏻
Napagawa zaidi kama sauti hiyo ni ya mwanamke, yaan wanawake wenye sauti nzito mna nafasi ya pekee katika kamoyo kangu,
katika moja ya vitu vilivyonifanya nimuhusudu partner wangu ile deep voice yake, enzi ya penzi jipya nilikua naloa sana nikiongea nae usiku🤭
Lakini kuna wanawake wengine kama Charlize Theron, Cate Blanchett, Toni Braxton, Beyonce Knowles wana sauti nzuri sana, nzito zenye mamlaka,
Kwa wanaume kuna Sylvester Stalone babu anazeeka na utamu wake wa sauti, hua sichoki kumsikiliza akiongea, Don Williams alitisha sana na Base lake lakini pia kuna Chidi Benz mtoto wa Ilala ana sauti nzuri sana bila kumsahau Millard Ayo,
Kama kuna MWANAMKE humu ana sauti nzito anicheki nimpe zawadi yake jamani, you guys are amazing mnanichafulia sana thongs zangu🤗😋
Eenhe nikikunong’oneza lazima uloe au niamke asubuhi halafu niiombe bado na kausingizi 😋😋😋 eneweii, mapenzi rahaaaa sana 🤣Huyu mboni ni Binti wa zamani
EwaaaaaaaaaSijaelewa sauti nzito ndo kama ile ya Jaivah au?
😊😊😊😊 sitaki ugomvi na waungwana. Nina sauti kama ya burna boy. Inafaa?
Yes Gadner na yeye alikua kiboko wa deep voiceGardina G ni roll modo wangu
Inafaa sanaa, burna ana sauti nzito nzuri ndio maana nina nyimbo zake karibu zote😊😊😊😊 sitaki ugomvi na waungwana. Nina sauti kama ya burna boy. Inafaa?