Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaaKitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10
Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Mh! Sio kwa wema huo!!Hahaha mrembo utakuwa ktk hali nzuri na ya usalama kabisa, mfano kwa hapo Dar after bata utarudishwa kwenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbavu zanguuuuu!!!Wewe ndo umenena vyema sana! Cha mtu kinaliwa na mtu bhn chuma kinaliwa na kutu!! Eti dunia ya leo mtu anakwambia ataibiwa figo moja as if hyo figo unaivua kama chupi!!
We nendaAjali kazini
Utume kabisa na ya kutolea.....Hello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?
Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport kuelekea Dar es Salaam then tarehe 28 nitakua free kwenye viunga vya Dar so napendelea kujulishwa viwanja vipya vya kujivinjari na warembo wangu wa JF!! Baada ya hapo Tarehe 30 tutakua na flight kuelekea Serengeti then Ngorongoro na kurudi Dar es Salaam tarehe 3 January.
Hivyo ukiwa kama mrembo wa JF karibu sana u join nami and all bills zitakuwa juu yangu only nahitaji hangout tuu. Zawadi pia zitakuwepo.
Watakao hitaji karibuni sana hapa au PM.
Karibuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pacha umenikumbusha kitu nimejikuta nacheka sanaUnahitaji ushawishi kidogo tu...
Ninong'oneze...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pacha umenikumbusha kitu nimejikuta nacheka sana
Not nowNinong'oneze...
Usijali wala niniWe nenda
Ukirudi uje unihadithie bhaccc
Hahahaaaa!! Kumbe je?!!!Sema kweli dada
Eeehh!!maisha mafupi!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!!!
Wozaaaaaa libinam langu hilo wacha wewe #kazinabataWala sipigi box huku mkuu... nipo na professional job ktk high profile organization.
#kazinabata#
😂😂😂😂habari ndo hiyoo..we weka tarehe tu!!!liwalo na liwe!ngoja nijiandaeWewe ndo umenena vyema sana! Cha mtu kinaliwa na mtu bhn chuma kinaliwa na kutu!! Eti dunia ya leo mtu anakwambia ataibiwa figo moja as if hyo figo unaivua kama chupi!!
AlifanyajeeHahahhaahaaaa
Umenikumbusha jamaaa mmoja hahahhaaaa
Aisee jf hapana