Nawaalika warembo wa kula nao bata

Nawaalika warembo wa kula nao bata

nime kutrace IP address yako kumbe uko hapa hapa Bongo.....lakini si mbaya mkuu...kama kweli una umatemate nitakupa mademu wawili tu wa mwananyamala utarudi hoi
 
Nasikia mombasa, wanaume upewa hela, alafu wanakuja bongo kula bata chafu kabisa.
 
Wewe ndo umenena vyema sana! Cha mtu kinaliwa na mtu bhn chuma kinaliwa na kutu!! Eti dunia ya leo mtu anakwambia ataibiwa figo moja as if hyo figo unaivua kama chupi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbavu zanguuuuu!!!
 
Hello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?

Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport kuelekea Dar es Salaam then tarehe 28 nitakua free kwenye viunga vya Dar so napendelea kujulishwa viwanja vipya vya kujivinjari na warembo wangu wa JF!! Baada ya hapo Tarehe 30 tutakua na flight kuelekea Serengeti then Ngorongoro na kurudi Dar es Salaam tarehe 3 January.

Hivyo ukiwa kama mrembo wa JF karibu sana u join nami and all bills zitakuwa juu yangu only nahitaji hangout tuu. Zawadi pia zitakuwepo.

Watakao hitaji karibuni sana hapa au PM.

Karibuni.
Utume kabisa na ya kutolea.....
 
Ukiwaita hivi wanajivutavuta ni sawa na umtumie 'mwizi' text umwambie leo mlango upo wazi kaibe .








Word "mwizi" is not there to insult you ladies.
 
Back
Top Bottom