Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Yaani hii unaeza kuwa unamkusanyia mtu 50k weekly. Bado hamjaenda kupiga masanga na kitimoto. Kweli tumeubwa mateso!!
Kuna moja alikuwa anakuja kila nikipiga akitaka kurudi kwao nampiga na wekundu 5, lakini mwisho wa siku akasema mimi bahiri. Nikapiga chini
 
Tozo kila mahali.


Serikali iwape wanawake uagent wa TRA kukusanya Kodi
 
Kuwe na Kodi ya tongozo Basi iitwe wooing tax tujue moja tunalipa Kodi.
 
Ukiona demu anakupiga mizinga mingi hiyo ni dalili kuwa hakutaki na kama vipi huyo atakuletea umaskini tu, kaa nae chonjo
 
Wanaume tafuteni hela acheni kulalamika mapenzi ni kitu expensive sana, Sasa nyie mnapenda kitonga tu Yani buku tano unaaumia wakati wanaume wenzenu wanahonga Hadi magari, viwanja na hawalalamiki.
Tell them my daughter
 
Wanaume tafuteni hela acheni kulalamika mapenzi ni kitu expensive sana, Sasa nyie mnapenda kitonga tu Yani buku tano unaaumia wakati wanaume wenzenu wanahonga Hadi magari, viwanja na hawalalamiki.
Wacha weeee sasa 50/50 ipo wapi imnayoililia kila siku au inachagua baadhi vitu na maeneo, sometimes hawa wanawake wana harakati hawajui wanacho kipigania.
 
Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi mtaani.

Naomba hela ya kula.
Naomba hela nikasuke.
Mwanangu anaumwa.
Naomba hela ya mchezo.

Yani MNABOA Sana Sana hamjui tu. Mi nashauri wanaume wenzangu mademu wa dizaini hii unamla na tg ili kuwe na win win situation.

Superbug
Aisee
 
Back
Top Bottom