Usitumie wingi humu hamna wajinga kama wewe ,jiongelee mwenye unaleta tabia za facebook humu, mtu mwenyewe jf umeingia juzo tu inaonyesha level yako ya ujinga, ndio umeingia mjini au siyo, punguza ushambaUkiwa ngedere lazima tukutukane maana unaandika pumba tupu humu🤣🤣🤣🤣🤣
We ndio mjinga na huna elimu ndio maana unaleta pumba humu yaani umeleta kituko aiseeUsitumie wingi humu hamna wajinga kama wewe ,jiongelee mwenye unaleta tabia za facebook humu, mtu mwenyewe jf umeingia juzo tu inaonyesha level yako ya ujinga, ndio umeingia mjini au siyo, punguza ushamba
Report ya imf ndio ipo sahaihi na ni current siyo wikipedia mkuuNimekuwekea chanzo cha uhakika cha wikipedia kinachochukua data Imf
Hicho chanzo chako website binafsi ya mtu anaeweza kubadilisha data au kukisia
Hiyo Yako ni chai mtu yeyote anaweza kubandika ndio mana nikakuambia wewe huna kitu kichwani tangia ulipotuma hiyo screenshot yako🤣🤣🤣🤣🤣Report ya imf ndio ipo sahaihi na ni current siyo wikipedia mkuu
Kumuelewesha chizi unajipa kazi by DarassaGdp haiangalii size ya nchi inagawanya kwa population mkuu. Halafu hizo data zako siyo za kweli, achana na wikipedia current data zinatolewa kila quarter na imf
Unajua how wikipedia works???Nimekuwekea chanzo cha uhakika cha wikipedia kinachochukua data Imf
Hicho chanzo chako hakina uaminifu, hakina reference, ni website ya mtu binafsi, si ajabu kajitungia.
Chanzo chako ulichoweka hakuna sehemu yoyote walipoandika ni data za Imf, ni wazi na wewe umekurupuka kuweka bila kuchunguza, Hiki hapa :Report ya imf ndio ipo sahaihi na ni current siyo wikipedia mkuu
Wikipedia ni kama jf mkuu wikipedians ndio wanaweka data haina authorities za data zaoChanzo chako ulichoweka hakuna sehemu yoyote walipoandika ni data za Imf, ni wazi na wewe umekurupuka kuweka bila kuchunguza, Hiki hapa :
Top 10 Richest Countries in the Middle East in 2024
Which is the richest country in the Middle East and what’s their GDP per Capita? Find out all the data you need on the richest countries in the Middle East.bestdiplomats.org
Chanzo cha uhakika ni wikipedia kwa data za IMF
Washaweka reference ni data za IMFWikipedia ni kama jf mkuu wikipedians ndio wanaweka data haina authorities za data zao
sina sababu ya kuweka wakati imf kila quarter anatoa na sina sababu ya kuweka vitu vya uongoWashaweka reference ni data za IMF
Kama ni rahisi hivyo na wewe kabadili data ipandishe Iran iwe nafasi ya pili
Nimeshakuelekeza wikipedia siyo trusted source ni kama jf kila mtu yupo huru kuandika chochote na kupost ,usije ukajidhalilisha ukaweka taarifa ukasema source ni wikipediaChanzo chako ulichoweka hakuna sehemu yoyote walipoandika ni data za Imf, ni wazi na wewe umekurupuka kuweka bila kuchunguza, Hiki hapa :
Top 10 Richest Countries in the Middle East in 2024
Which is the richest country in the Middle East and what’s their GDP per Capita? Find out all the data you need on the richest countries in the Middle East.bestdiplomats.org
Chanzo cha uhakika ni wikipedia kwa data za IMF
Kobazi wakikusikia unaisifia israel?Israel inajilinda na umasikini kwa kuwekeza kwenye elimu ya ubunifu wa teknolojia, hawana madini ardhi yao sehemu kubwa ni jangwa lakini kupitia Teknolojia wana uchumi wa dola bilioni 500 (Trilioni elf 1 na 500) kusanya nchi zote za Afrika Mashariki hatufikii. Kampuni yenye teknolojia kubwa ya umwagiliaji duniani ipo Israel, Kampuni nyingi zimeweka ofisi za ubunifu Israel, n.k.
Hizi ni nchi zenye uchumi mkubwa zaidi Mashariki ya Kati, Chanzo ni Wikipedia kwa kutumia takwimu za IMF shirika la fedha la kimataifa
View attachment 3118214
Israel inarushiwa makombora hawakimbilii kanisani kusema ni mipango ya Mungu kungoja kiama, wameumiza vichwa kubuni mitambo maalum ya kutungua makombora mengi (sio yote) kabla hayajatua,
View attachment 3118216
Nawaelezeaje wanangu kwamba Africa inalindwa na Mungu wa Israel kwenye Umasikini, Ujinga na maradhi wakati Israel inategemea zaidi Teknolojia kupunguza makali ?
View attachment 3118217
Mnadanganyana wenyewe mnafurahi , sasa mwambie akupe source ya taarifa yake anataja wikipedia , naona wengi wenu hamjui hata wikipedia inafanya kazi vipi ,hapo ni tatizo la uelewa na elimu, kwa mtu mwenye akili huwezi kuita wikipedia ni sourceKobazi wakikusikia unaisifia israel?
Muda si mrefu watamiminika hapa wale wa kutoka pande za kwa Nabil frola, kiboko ya wachawi, kwa mwamposa, brother gwaji, Nabil tito, kuhani musa, Nabii mkuu na Ile slogan yao ya ukiibariki Israel na wewe utabalikiwa bila kuwasahau na ndugu zangu huku uswahilini kwenye makanisa ya mabati na viti vya bar mana nao huwaambii kitu kuhusu Israel..Israel inajilinda na umasikini kwa kuwekeza kwenye elimu ya ubunifu wa teknolojia, hawana madini ardhi yao sehemu kubwa ni jangwa lakini kupitia Teknolojia wana uchumi wa dola bilioni 500 (Trilioni elf 1 na 500) kusanya nchi zote za Afrika Mashariki hatufikii. Kampuni yenye teknolojia kubwa ya umwagiliaji duniani ipo Israel, Kampuni nyingi zimeweka ofisi za ubunifu Israel, n.k.
Hizi ni nchi zenye uchumi mkubwa zaidi Mashariki ya Kati, Chanzo ni Wikipedia kwa kutumia takwimu za IMF shirika la fedha la kimataifa.
Soma Pia: Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga
View attachment 3118214
Israel inarushiwa makombora hawakimbilii kanisani kusema ni mipango ya Mungu kungoja kiama, wameumiza vichwa kubuni mitambo maalum ya kutungua makombora mengi (sio yote) kabla hayajatua,
View attachment 3118216
Nawaelezeaje wanangu kwamba Africa inalindwa na Mungu wa Israel kwenye Umasikini, Ujinga na maradhi wakati Israel inategemea zaidi Teknolojia kupunguza makali ?
View attachment 3118217