Nawafafanulia vipi wanangu kwamba Israel inalindwa na Teknolojia huku Africa tunamuomba Mungu wa Israel atulinde

Nawafafanulia vipi wanangu kwamba Israel inalindwa na Teknolojia huku Africa tunamuomba Mungu wa Israel atulinde

Ukiwa ngedere lazima tukutukane maana unaandika pumba tupu humu🤣🤣🤣🤣🤣
Usitumie wingi humu hamna wajinga kama wewe ,jiongelee mwenye unaleta tabia za facebook humu, mtu mwenyewe jf umeingia juzo tu inaonyesha level yako ya ujinga, ndio umeingia mjini au siyo, punguza ushamba
 
We ndio mjinga na huna elimu ndio maana unaleta pumba humu yaani umeleta kituko aisee
 
Nimekuwekea chanzo cha uhakika cha wikipedia kinachochukua data Imf

Hicho chanzo chako website binafsi ya mtu anaeweza kubadilisha data au kukisia
Report ya imf ndio ipo sahaihi na ni current siyo wikipedia mkuu
 
Nimekuwekea chanzo cha uhakika cha wikipedia kinachochukua data Imf

Hicho chanzo chako hakina uaminifu, hakina reference, ni website ya mtu binafsi, si ajabu kajitungia.
Unajua how wikipedia works???
Wikipedia inawekwa taarofa na watu wana ifeed its not accurate it may be bias ,nimekuwekea hapo chini how wikipedia works
Ingia data za imf google utapata ukweli huna haja ya kubishana humu kila kiyu kipo imf
 
Attachments

  • Screenshot_20241007-214039_Chrome.jpg
    Screenshot_20241007-214039_Chrome.jpg
    122.4 KB · Views: 2
Report ya imf ndio ipo sahaihi na ni current siyo wikipedia mkuu
Chanzo chako ulichoweka hakuna sehemu yoyote walipoandika ni data za Imf, ni wazi na wewe umekurupuka kuweka bila kuchunguza, Hiki hapa :

Chanzo cha uhakika ni wikipedia kwa data za IMF

Chanzo chako ulichoweka hakuna sehemu yoyote walipoandika ni data za Imf, ni wazi na wewe umekurupuka kuweka bila kuchunguza, Hiki hapa :

Chanzo cha uhakika ni wikipedia kwa data za IMF

Wikipedia ni kama jf mkuu wikipedians ndio wanaweka data haina authorities za data zao
 
Wikipedia ni kama jf mkuu wikipedians ndio wanaweka data haina authorities za data zao
Washaweka reference ni data za IMF

Kama ni rahisi hivyo na wewe kabadili data ipandishe Iran iwe nafasi ya pili
 
Washaweka reference ni data za IMF

Kama ni rahisi hivyo na wewe kabadili data ipandishe Iran iwe nafasi ya pili
sina sababu ya kuweka wakati imf kila quarter anatoa na sina sababu ya kuweka vitu vya uongo
 
Chanzo chako ulichoweka hakuna sehemu yoyote walipoandika ni data za Imf, ni wazi na wewe umekurupuka kuweka bila kuchunguza, Hiki hapa :

Chanzo cha uhakika ni wikipedia kwa data za IMF

Nimeshakuelekeza wikipedia siyo trusted source ni kama jf kila mtu yupo huru kuandika chochote na kupost ,usije ukajidhalilisha ukaweka taarifa ukasema source ni wikipedia
 
Attachments

  • Screenshot_20241007-223757_Chrome.jpg
    Screenshot_20241007-223757_Chrome.jpg
    131.2 KB · Views: 2
Israel inajilinda na umasikini kwa kuwekeza kwenye elimu ya ubunifu wa teknolojia, hawana madini ardhi yao sehemu kubwa ni jangwa lakini kupitia Teknolojia wana uchumi wa dola bilioni 500 (Trilioni elf 1 na 500) kusanya nchi zote za Afrika Mashariki hatufikii. Kampuni yenye teknolojia kubwa ya umwagiliaji duniani ipo Israel, Kampuni nyingi zimeweka ofisi za ubunifu Israel, n.k.

Hizi ni nchi zenye uchumi mkubwa zaidi Mashariki ya Kati, Chanzo ni Wikipedia kwa kutumia takwimu za IMF shirika la fedha la kimataifa

View attachment 3118214

Israel inarushiwa makombora hawakimbilii kanisani kusema ni mipango ya Mungu kungoja kiama, wameumiza vichwa kubuni mitambo maalum ya kutungua makombora mengi (sio yote) kabla hayajatua,

View attachment 3118216

Nawaelezeaje wanangu kwamba Africa inalindwa na Mungu wa Israel kwenye Umasikini, Ujinga na maradhi wakati Israel inategemea zaidi Teknolojia kupunguza makali ?

View attachment 3118217
Kobazi wakikusikia unaisifia israel?
 
Kobazi wakikusikia unaisifia israel?
Mnadanganyana wenyewe mnafurahi , sasa mwambie akupe source ya taarifa yake anataja wikipedia , naona wengi wenu hamjui hata wikipedia inafanya kazi vipi ,hapo ni tatizo la uelewa na elimu, kwa mtu mwenye akili huwezi kuita wikipedia ni source
 
Attachments

  • Screenshot_20241007-224923_Chrome.jpg
    Screenshot_20241007-224923_Chrome.jpg
    101.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241007-223757_Chrome.jpg
    Screenshot_20241007-223757_Chrome.jpg
    131.2 KB · Views: 2
Kitu waafrika wanakosa ni maarifa sahihi kumhusu Mungu...Watu hawana mda wa kusoma biblia wala vitabu vya watumishi sahihi wa Mungu..
Israel kafanya hayo yote kutokana na changamoto...Asingelikuwa na chañgamoyt asingalifika hapo alipo
 
Ajabu watu wanaacha mada kuu wanajibu makasiriko.. Mleta mada hongera kwa kutambua hilo hao vilaza wa kilokole wache wabaki na milima ya moto na mito ya baraka
 
Israel inajilinda na umasikini kwa kuwekeza kwenye elimu ya ubunifu wa teknolojia, hawana madini ardhi yao sehemu kubwa ni jangwa lakini kupitia Teknolojia wana uchumi wa dola bilioni 500 (Trilioni elf 1 na 500) kusanya nchi zote za Afrika Mashariki hatufikii. Kampuni yenye teknolojia kubwa ya umwagiliaji duniani ipo Israel, Kampuni nyingi zimeweka ofisi za ubunifu Israel, n.k.

Hizi ni nchi zenye uchumi mkubwa zaidi Mashariki ya Kati, Chanzo ni Wikipedia kwa kutumia takwimu za IMF shirika la fedha la kimataifa.

Soma Pia: Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

View attachment 3118214

Israel inarushiwa makombora hawakimbilii kanisani kusema ni mipango ya Mungu kungoja kiama, wameumiza vichwa kubuni mitambo maalum ya kutungua makombora mengi (sio yote) kabla hayajatua,

View attachment 3118216

Nawaelezeaje wanangu kwamba Africa inalindwa na Mungu wa Israel kwenye Umasikini, Ujinga na maradhi wakati Israel inategemea zaidi Teknolojia kupunguza makali ?

View attachment 3118217
Muda si mrefu watamiminika hapa wale wa kutoka pande za kwa Nabil frola, kiboko ya wachawi, kwa mwamposa, brother gwaji, Nabil tito, kuhani musa, Nabii mkuu na Ile slogan yao ya ukiibariki Israel na wewe utabalikiwa bila kuwasahau na ndugu zangu huku uswahilini kwenye makanisa ya mabati na viti vya bar mana nao huwaambii kitu kuhusu Israel..
 
Back
Top Bottom