Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

kiukweli tuliosoma 80s,90s and early 2000 tulidundwa kisawasawa na sheria zilikuwepo na tulinyooka tulikua na nidham.lkn sasa hivi watoto hawanaga nidham na hawana maadili kabisa.nadhan viboko virejeshwe tu bila.hivyo maadili nidham zero
 
Ulimtishia watamloga? Ukiwa unatoka Sumbawanga that works! Mwambie tutakuweka mbususu kwenye paji la uso hakugusi tena hata ufanye nini!
Hapana...ukweli ulikuwa wazi na hakutegemea baada ya muda ningeenda ofisini.
Hatukulelewa na nidhamu za uoga uoga.
 
Hizo one za saba zinafundishwa na AI au
 
Hizo ndio shule za maskini huwezi kuta huo upuuzi international school.
tutafute maokoto.
 
Mambo za kawaida Sana hizo kwa shule za serikali nakuambia Mara chache zinapoleta madhara makubwa ( kifo) ndio utaona wadau wanapaza sauti.....
 
Yani mfano hesabu au fizikia...mwanafunzi anawezaje kujisomea mwenyewe..?
 
Mkuu wewe ulisomaga ulaya ambalo hawapigi hivo au????

Naivety
 
Mkuu wewe ulisomaga ulaya ambalo hawapigi hivo au????

Naivety
Nimekula mboko sana, ndio maana sitaki wanangu wapitie kile nilichopitia! Na kwa ujumla viboko viwili vitatu si mbaya, lakini sio kwa jinsi baadhi ya waalimu wanavyoadhibu watoto. Wanawafanyia unyama
 
Ningekuwa mimi ningembaka huku nyie walimu wenzake mnaangalia.
ungeanzaje kumbaka na sisi tunaona acha ujinga. Huyo mwalimu wa kike alikuwa giant kaenda hewani kajaziajazia mwili wake ni mbabe anatumia ngumi kubonda wazazi wakorofi wanaokuja shuleni kisharishari. Kimbaumbau mkondefu kama wewe ungemuweza wapi? Acha utani kenge wewe
 
Hii ilikua zamani ndg,. Nenda udsm pale watu wamepiga one za maana wanapiga ualimu. Hivi ukifeli unaweza kwenda chuo kikuu gani?
 
Mtoto ambaye amelelewa na wazazi wanaojitambua hawezi kupigwa kijingajinga na mwalimu.

Watoto wa wazazi wazembe wanaonewa sana mashuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…