Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

kiukweli tuliosoma 80s,90s and early 2000 tulidundwa kisawasawa na sheria zilikuwepo na tulinyooka tulikua na nidham.lkn sasa hivi watoto hawanaga nidham na hawana maadili kabisa.nadhan viboko virejeshwe tu bila.hivyo maadili nidham zero
 
Ulimtishia watamloga? Ukiwa unatoka Sumbawanga that works! Mwambie tutakuweka mbususu kwenye paji la uso hakugusi tena hata ufanye nini!
Hapana...ukweli ulikuwa wazi na hakutegemea baada ya muda ningeenda ofisini.
Hatukulelewa na nidhamu za uoga uoga.
 
Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?

Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.

Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?

Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.

Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Hizo one za saba zinafundishwa na AI au
 
Hizo ndio shule za maskini huwezi kuta huo upuuzi international school.
tutafute maokoto.
 
Mambo za kawaida Sana hizo kwa shule za serikali nakuambia Mara chache zinapoleta madhara makubwa ( kifo) ndio utaona wadau wanapaza sauti.....
 
Kwani kufundisha nayo kazi? Yaani dunia ya leo hakuna hata haja ya mtoto kuhudhuria shule kila siku badala yake anajisomea mtandaoni tu as far as syllabus husika anayo.

Kujisomea mwenyewe unapata majibu sahihi kuliko nyie vilaz,a huko shuleni mnawalisha matango pori watoto.

Watoto wanaenda shuleni kila siku kwasababu mzazi apate muda wa kutosha kufanya shughuli zake nyingine tu lakini kama anakuwa na nafasi anamfundisha tu nyumbani wala hakuna haja ya kwenda kila siku.
Yani mfano hesabu au fizikia...mwanafunzi anawezaje kujisomea mwenyewe..?
 
View attachment 3266333

Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.

Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.

Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?

Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
Mkuu wewe ulisomaga ulaya ambalo hawapigi hivo au????

Naivety
 
Mkuu wewe ulisomaga ulaya ambalo hawapigi hivo au????

Naivety
Nimekula mboko sana, ndio maana sitaki wanangu wapitie kile nilichopitia! Na kwa ujumla viboko viwili vitatu si mbaya, lakini sio kwa jinsi baadhi ya waalimu wanavyoadhibu watoto. Wanawafanyia unyama
 
Ningekuwa mimi ningembaka huku nyie walimu wenzake mnaangalia.
ungeanzaje kumbaka na sisi tunaona acha ujinga. Huyo mwalimu wa kike alikuwa giant kaenda hewani kajaziajazia mwili wake ni mbabe anatumia ngumi kubonda wazazi wakorofi wanaokuja shuleni kisharishari. Kimbaumbau mkondefu kama wewe ungemuweza wapi? Acha utani kenge wewe
 
Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?

Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.

Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?

Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.

Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Hii ilikua zamani ndg,. Nenda udsm pale watu wamepiga one za maana wanapiga ualimu. Hivi ukifeli unaweza kwenda chuo kikuu gani?
 
Mtoto ambaye amelelewa na wazazi wanaojitambua hawezi kupigwa kijingajinga na mwalimu.

Watoto wa wazazi wazembe wanaonewa sana mashuleni.
 
Back
Top Bottom