Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili sio adhabu ni jinaiView attachment 3267137View attachment 3267137Jamani, uchapaji gani huu? 😭😭
Utafikiri sio binadamu.
Hii sijui ni shule gani?
Yaani hawa unawachukulia hatua kali sana. Huu ni uuaji.hili sio adhabu ni jinai
Hapana...ukweli ulikuwa wazi na hakutegemea baada ya muda ningeenda ofisini.Ulimtishia watamloga? Ukiwa unatoka Sumbawanga that works! Mwambie tutakuweka mbususu kwenye paji la uso hakugusi tena hata ufanye nini!
Huyo sio dogo, huyo ni Intelligent businessmanhiyo mbona kawaida,
huyo dogo anaonekana msumbufu akichapwa anahangaika
Nusu albinoHuyo sio dogo, huyo ni Intelligent businessman
Kwani uchaguzi na sensa vimefutwa, CCM imekufaWalimu wengi wana msongo wa mawazo kutokana na shida zinazowaandama mshahara kiduchu na madeni.
Hizo one za saba zinafundishwa na AI auUliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?
Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.
Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?
Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.
Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Yani mfano hesabu au fizikia...mwanafunzi anawezaje kujisomea mwenyewe..?Kwani kufundisha nayo kazi? Yaani dunia ya leo hakuna hata haja ya mtoto kuhudhuria shule kila siku badala yake anajisomea mtandaoni tu as far as syllabus husika anayo.
Kujisomea mwenyewe unapata majibu sahihi kuliko nyie vilaz,a huko shuleni mnawalisha matango pori watoto.
Watoto wanaenda shuleni kila siku kwasababu mzazi apate muda wa kutosha kufanya shughuli zake nyingine tu lakini kama anakuwa na nafasi anamfundisha tu nyumbani wala hakuna haja ya kwenda kila siku.
Ningekuwa mimi ningembaka huku nyie walimu wenzake mnaangalia.Kuna mwalimu mkuu mmoja mwanamke, yeye alikuwa anawazabatua wazazi makofi wanaenda shuleni kisharishari. Unapigwa na unapelekwa polisi
Mkuu wewe ulisomaga ulaya ambalo hawapigi hivo au????View attachment 3266333
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.
Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?
Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
Nimekula mboko sana, ndio maana sitaki wanangu wapitie kile nilichopitia! Na kwa ujumla viboko viwili vitatu si mbaya, lakini sio kwa jinsi baadhi ya waalimu wanavyoadhibu watoto. Wanawafanyia unyamaMkuu wewe ulisomaga ulaya ambalo hawapigi hivo au????
Naivety
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwalimu hadi kasimamia vidole hapo[emoji28][emoji28][emoji28]
ungeanzaje kumbaka na sisi tunaona acha ujinga. Huyo mwalimu wa kike alikuwa giant kaenda hewani kajaziajazia mwili wake ni mbabe anatumia ngumi kubonda wazazi wakorofi wanaokuja shuleni kisharishari. Kimbaumbau mkondefu kama wewe ungemuweza wapi? Acha utani kenge weweNingekuwa mimi ningembaka huku nyie walimu wenzake mnaangalia.
Hii ilikua zamani ndg,. Nenda udsm pale watu wamepiga one za maana wanapiga ualimu. Hivi ukifeli unaweza kwenda chuo kikuu gani?Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?
Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.
Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?
Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.
Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Mkuu rudisha Tom Shelby hapo kwa avatarMtoto ambaye amelelewa na wazazi wanaojitambua hawezi kupigwa kijingajinga na mwalimu.
Watoto wa wazazi wazembe wanaonewa sana mashuleni.