George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
😂😂😂Mkuu rudisha Tom Shelby hapo kwa avatar
Mkataba wa Shelby family ulishaisha!!!
Sasa hivi mzee Rick ndio mpangaji wa chumba cha Avatar.
"Wubba lubba dub dub!"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Mkuu rudisha Tom Shelby hapo kwa avatar
UnamjuA Bruce Lee?ungeanzaje kumbaka na sisi tunaona acha ujinga. Huyo mwalimu wa kike alikuwa giant kaenda hewani kajaziajazia mwili wake ni mbabe anatumia ngumi kubonda wazazi wakorofi wanaokuja shuleni kisharishari. Kimbaumbau mkondefu kama wewe ungemuweza wapi? Acha utani kenge wewe
Mkuu; Kwanini usituambie kosa la mtoto ni lipi/nini?Au unalijua kosa lake? Naamini huyo mwl. sio kichaa na huenda ana watoto kama wewe. Unaijua au unafuatiliaga Tabia ya mwanao awapo huko shuleni?View attachment 3266333
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.
Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?
Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
Mwanafunzi au mwl.?Tutamfunza mtaani...